Pole . Mapenzi ya kidijitali hayo Mentor, nakumbuka kuna mdau aliwahi toa bandiko kuwa yeye aliachwa kisa she was not romantic. Kizazi hiki mbona mtakutana na mengi vumilieni tu
mnara wa network ya mapenzi yake kwako umeyumba kidogo hvyo channel hazikamati vizuri.
May b utakamata mawimbi tena na hata ukimuombea lifti kwenye FUSO atapanda tu aje!