Mimi ni Polisi: Fastjet

Mentor kwa nini stori zako zote zinakuwa na sad endings on ur side.....why not the other way round...
 
Pole sana Mentor,very interesting story,...nimecheka sana eti FastJet ya wanuka shombo.... huyo Violeth unaweza kuta hata hajawahi kupanda hiyo ya wanuka shombo.lolz
 
Last edited by a moderator:
Mamaweee kama kuzimia ningezimia Mimi lakini tu laki tuwili sio neno, kumbuka ukitongoza mrembo kama miss kubali gharama, siku hizi hakuna penzi, huyo kashachukuliwa na wauza samaki.
 
Sawa nimekusikia boss.huyu babu ananitafutia kesi na hatonipata
Kesi ya uhaini unaijua wewe?

Unataka nitangaze tulikofahamiana? Hunipati ng'oo
Akikupata unambie...... ntafanya party....

Nikupate mara ngapi?
Mungu wangu!!!!!!

Asprin eti umeona alichoandika huyu ndugu yako?
Natamani nikione..... kaandikaje?

Hahahahaah miss neddy ana vimchepuko vingi ajabu.... namwogopa.

Wamekwambia hivyo?
Wamekuuliza au kiherehere??

najua kabisa...imagine niko na nani sa ivi?
Kama uko na Khantwe nambie iwe mwanzo mwisho........

Ewaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

"Bunduki bila risasi yaua namna gani"

Kama ulikuwepo....roho inatamani kunitoka hapa
Natamani ikutoke nikupe nyingine mpya........

Asprin anajua haya?
Nisingejua ningekupigia wallah!!!!!

Mentor kabwagwa tena you know...
Hahahahah Mentor? Nasema abwagwe!!!!
 
Last edited by a moderator:

Itakiwa upo kaunta ya juu...
 
Last edited by a moderator:

Mmmmhhhhh....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…