The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,003
- 121,133
Endelea kuzunguka hiyo keep left huenda ukakutana na Bakhresa au Mo Dewji.Alisahau kula raha ni kwa zamu enh. Maisha ni kama keep-left, utazunguka huku na mi ntazunguka huko ila mwisho wa safari tutakutana.
Yah ni kweli.Pamoja na kua kuna ushauri but at the end muhusika ndio hua muamuzi wa mwisho wa maisha yake.
We jamaa leo umeniamulia. Kwenye uzi wa sadala umenirushia jiwe, huku na kwenyewe unarusha tena.Endelea kuzunguka hiyo keep left huenda ukakutana na Bakhresa au Mo Dewji.
Sasa mkuu mimi si nakusupport ili usikate tamaa kwenye kuzunguka keep left? 🤣🤣We jamaa leo umeniamulia. Kwenye uzi wa sadala umenirushia jiwe, huku na kwenyewe unarusha tena.
Hawa askari wakiona hii picha wanajiona malofa mno....
Kwani huyo Amduni ndiye atadumu huko TAKUKURU, Kumbuka naye kapewa ili kulinda Makunduchi Gang, hujui 2025 ataingia nani Ikulu na huyo Amdun atakuwa wapi?Ukiangalia vizur hapo utamuona MH. HAMDUNI. Maisha haya nyie nyuma geuka mbele tembea
Jamaa alifanya Kama dar yake