Mimi ni namba moja kwa kula raha duniani

Hio sio sheria ni ushauri tu. Msisimko ni mbaya unaweza kuahidi hata ambacho huwezi kufanya, kijana alisisimkwa na madaraka.
Pamoja na kua kuna ushauri but at the end muhusika ndio hua muamuzi wa mwisho wa maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…