Mimi ni mwana CHADEMA nnaeishangaa CHADEMA

Mimi ni mwana CHADEMA nnaeishangaa CHADEMA

makesy

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
75
Reaction score
32
Mim ni mwanaCHADEMA mzuri natokea Moshi Vijijini kata ya Uru Mashariki naishangaa CHADEMA kwani huwezi kuamini pamoja na umaarufu wote huo CHADEMA haina viongozi wa chama ndani ya kata nzima ukiacha mwenyekiti wa kijiji cha Mwasi Kaskazini wanamwita Dr. Maliboro.

Ndani ya kata nzima hakuna kiongozi yeyote na ukizingatia mwaka kesho ni uchaguzi wa serikali za mitaa ni nani anayefanya maandalizi ya viongozi hao au mnasubiri muje na zile kampeni za zimamoto yeyote atakae jitokeza kugombea nafasi yoyote mnampa hata kama hafai halafu akishindwa mnakuja na kauli za kuibiwa kura kumbe mlisimamisha watu wasiofaa mbele ya jamii.

KAMA NIMEDANGANYA ANAEMJUA KIONGOZI YEYOTE WA CHADEMA NDANI YA KATA HII ANITAJIE HAPA
 
Tatizo wengi wetu tunasubiri watu waje watufanyie mabadiliko! Mabadiliko yanaanza na wewe mkuu. Anza kutimiza wajibu wako kwa nafasi yako kisha cheki na Basil Lema ndio katibu wako wa mkoa.

Ukiamua una weza huta shangaa tena!
 
Huu ni ushamba wa hali ya juu! Unashangaa nini kutokuwepo kiongozi wakati wewe upo na si kiongozi? Anza wewe halafu ndio ushangae wengine!!?
 
Hapa mkuu ni katika mtandao maarufu wa Jamii Forums, Hapa sio mahali pa kuwasilisha malalamiko ya wanachama wa vyama vya siasa, nakushauri uwaone viongozi wa chama chako uwaeleze haya.
 
Mkuu BAGASA ni kweli kabisa kilimanjaro hamna viongozi Bazili Lema Na Makelele Ni Masomjo Wa Mjini Wamepewa Kwa Kujuana
 
sasa umewezaje kuwa mwana chadema katika kata isiyokuwa na viongozi?
kama hakuna viongozi tumia fulsa hiyo, anza wewe na rafikizo au nduguzo wa karibu, mimi nakushangaa wewe.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mim ni mwanachadema mzuri natokea moshi vijijini kata ya Uru mashariki naishangaa chadema kwani huwezi kuamini pamoja na umaarufu wote huo chdema haina viongozi wa chama ndani ya kata nzima ukiacha mwenyekiti wa kijiji cha mwasi kaskazini wanamwita dr maliboro ndani ya kata nzima hakuna kiongozi yeyote na ukizingatia mwaka kesho ni uchaguzi wa serikali za mitaa ni nani anayefanya maandalizi ya viongozi hao au mnasubiri muje na zile kampeni za zimamoto yeyote atakae jitokeza kugombea nafasi yoyote mnampa hata kama hafai halafu akishindwa mnakuja na kauli za kuibiwa kura kumbe mlisimamisha watu wasiofaa mbele ya jamii. KAMA NIMEDANGANYA ANAEMJUA KIONGOZI YEYOTE WA CHADEMA NDANI YA KATA HII ANITAJIE HAPA

CHADEMA mnahitaji wanachama kama huyu aliyeanzisha hii thread, siyo hawa wachumia tumbo tuliowazoea hapa jamvini.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mim ni mwanachadema mzuri
natokea moshi vijijini kata ya Uru mashariki naishangaa chadema kwani
huwezi kuamini pamoja na umaarufu wote huo chdema haina viongozi wa
chama ndani ya kata nzima ukiacha mwenyekiti wa kijiji cha mwasi
kaskazini wanamwita dr maliboro ndani ya kata nzima hakuna kiongozi
yeyote na ukizingatia mwaka kesho ni uchaguzi wa serikali za mitaa ni
nani anayefanya maandalizi ya viongozi hao au mnasubiri muje na zile
kampeni za zimamoto yeyote atakae jitokeza kugombea nafasi yoyote mnampa
hata kama hafai halafu akishindwa mnakuja na kauli za kuibiwa kura
kumbe mlisimamisha watu wasiofaa mbele ya jamii. KAMA NIMEDANGANYA
ANAEMJUA KIONGOZI YEYOTE WA CHADEMA NDANI YA KATA HII ANITAJIE
HAPA
Tatizo ni wewe play your part
 
Huu ni ushamba wa hali ya juu! Unashangaa nini kutokuwepo kiongozi wakati wewe upo na si kiongozi? Anza wewe halafu ndio ushangae wengine!!?
 
Makelele na bazil lema ni matapta wamepewa vyeo kwa kujuana hata bavicha hamna
 
Jamaa ana hoja ya msingi ni aibu Chadema kukosa viongozi Moshi.
 
Makelele na bazil lema ni matapta wamepewa vyeo kwa kujuana hata bavicha hamna

Ninakushukuru kwa kusaidia kuwafumbua macho wanachama wa CHADEMA.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mim ni mwanachadema mzuri natokea moshi vijijini kata ya Uru mashariki naishangaa chadema kwani huwezi kuamini pamoja na umaarufu wote huo chdema haina viongozi wa chama ndani ya kata nzima ukiacha mwenyekiti wa kijiji cha mwasi kaskazini wanamwita dr maliboro ndani ya kata nzima hakuna kiongozi yeyote na ukizingatia mwaka kesho ni uchaguzi wa serikali za mitaa ni nani anayefanya maandalizi ya viongozi hao au mnasubiri muje na zile kampeni za zimamoto yeyote atakae jitokeza kugombea nafasi yoyote mnampa hata kama hafai halafu akishindwa mnakuja na kauli za kuibiwa kura kumbe mlisimamisha watu wasiofaa mbele ya jamii. KAMA NIMEDANGANYA ANAEMJUA KIONGOZI YEYOTE WA CHADEMA NDANI YA KATA HII ANITAJIE HAPA

Mkuu chama chako ni chama cha ruzuku.
Penye ruzuku , huko makao makuu,viongozi wote wapo hapo, nyie wananchi mtajiju.
 
Unafaa kuhamasisha. Muda wa uchaguzi jitokeze kama una sifa
 
MWANACHADEMA gani usiyekuwa na INITIATIVES zozote kwa chama chako zaidi ya kuwashangaa wanachama

(chama) through threads in Jamii forums?????anza kwa kutoa maoni yako kwenye chama kama you think something is not right........CHANGE NI MIMI, NI WEWE, NI SISI..........JIPANGE MKUU....:rockon:
 
I thought hakuna wanachama, kumbe ni viongozi tu?
Basi wakati ukifika wanachama watajitokeza kugombea.
 
Mim ni mwanachadema mzuri natokea moshi vijijini kata ya Uru mashariki naishangaa chadema kwani huwezi kuamini pamoja na umaarufu wote huo chdema haina viongozi wa chama ndani ya kata nzima ukiacha mwenyekiti wa kijiji cha mwasi kaskazini wanamwita dr maliboro ndani ya kata nzima hakuna kiongozi yeyote na ukizingatia mwaka kesho ni uchaguzi wa serikali za mitaa ni nani anayefanya maandalizi ya viongozi hao au mnasubiri muje na zile kampeni za zimamoto yeyote atakae jitokeza kugombea nafasi yoyote mnampa hata kama hafai halafu akishindwa mnakuja na kauli za kuibiwa kura kumbe mlisimamisha watu wasiofaa mbele ya jamii. KAMA NIMEDANGANYA ANAEMJUA KIONGOZI YEYOTE WA CHADEMA NDANI YA KATA HII ANITAJIE HAPA

Kumbe wewe ni mwanachama, changamka sasa ili mtu mwingine akija kuchukua nafasi usilalamike
 
Back
Top Bottom