Wewe sio Gwajima, Askofu, bali umetumia jina ( liwe ni lako au la kujipachika) kwa kusudi lako unalolijua. Haitafanikiwa ndio maana imeandikwa. " Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa. Na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu, utauhukumu kuwa mkosa"Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Kumbe unajaribu kulingana na yule ambaye jina lake unatumia? Pole sana.Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Kaka tafadhali usiingize siasa yako katika Biblia! Aya unayoleta haina chochote kuhusu nani anafaa kuongoza. Ni dhahiri Isaya alirejelea viongozi ambao hawakufaa, na kati yao pia wanawake. Hasemi chochote unachodai.Gwajima wa JF uko sahihi. Hongera kwa ujasiri wa mada hii. Wala huhitaji kujieleza, kujitetea maana hoja yako ni kweli. Na ukweli ni mchungu tena unauma.
Mamlaka zote, au uongozi hutoka kwa Mungu aliye juu. Na yeye ameweka wazi katika Biblia (ile wanayotumia kuapa hao viongozi): KAZI YA KUONGOZA NI MWANAUME
Katika habari za watu wangu, watoto ndio wanaowaonea, na wanawake ndio wanaowatawala. Enyi watu wangu, wakuongozao wakukosesha, waiharibu njia ya mapito yako.
Isa 3:12 SUV
Isa 3:12 (SUV) - Katika habari za watu wangu, watoto - Bible App
Katika habari za watu wangu, watoto ndio wanaowaonea, na wanawake ndio wanaowatawala. Enyi watu wangu, wakuongozao wakukosesha, waiharibu njia ya mapito yako.bible.com
aaa!! weweee!! wee uliskia wapi?Sisi wanaccm wooote mkoa wa Unguja Magharibi tutampa kura zetu zooooote mh Dr Freeman Mbowe awe Rais wa Tanzania mwaka 2025, watake wasitake Mbowe lazima awe Rais.
Jambo hilo kwa sasa haliwezekani!Sisi tunataka CCM iondoke ,ndio tatizo la msingi
Miaka hii 5 tutashuhudia mengi sana, huyu mama sijui anawaza nini.Nchi Yetu Changa Ila Watu wa Nje wanatuletea Mambo yao Ya Kijinsia. Wao wamezijenha Nchi zao na Kuweka Misingi Imara Hata Aje Raisi Gani Atapita Kwenye Hiyo Misingi ss tunaiga iga tu
Ubarikiwe mkuu, ujumbe umefika. Anaebisha ahamie Burundi[emoji1]Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Karibu kuwauliza K wenzako ndio utajua hawamtaki. Kati ya watu nilikuwa nawaona wasomi na very smart ni mama lakini kanidisapoint Sana mimi kama mpiga kura wake; niweke tu wazi mpaka sasa nina miaka 40 na kwa mika 21 sokuwahi kupiga kura hata siku moja isipokokuwa awamu iliyompa mama ukuuJikaze tu, mama tunaye sana panapo uhai. Tutampa tena na tena.
Miaka yote mliyotuongoza wanaume mmefanya maajabu gani?
Nilikuwa nakupa credit Sana lakini kumbe ni 0Sijaongelea kumuongoza mume nimeongelea kuongoza kwa ujumla.
Btw hata wajane wanaongoza familia zao vizuri tuu na watoto wanakua wa kujielewa wakati mwingine kuliko hata baadhi ya zile zenye wanaume walio hai.
Usimdharau mwanamke aliyekuongoza kuanzia kujua matumizi ya mwili wako na viungo vyake hadi kufikia hapo
Hebu tuambie ana uwezo gani?Unaongelea vitu viwili tofauti hapo, Uschanganye madawa kama hivi utakufa
Ila elewa tuu uume au uke hauongozi ila uwezo wa kiongozi
Hahahaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Ubarikiwe mkuu, ujumbe umefika. Anaebisha ahamie Burundi[emoji1]
Mwanamke asiye na akili labda mkeo ila sio kila mwanamke hana akili. Na kwa taarifa yako tuu Rais Samia Suluhu Hassan ana akili sana hakufika hapo alipo kibahati mbaya
Umekosea kidogo. Nna watoto5 Mmoja wa baba yako yule usiyemjua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu nilikua nakutafuta sana sasa nimekupata.... ulikoamkia ndiko tulikolalia. Usfikiri kila mtu yuko jf kwa malengo kama yako
Baba yako anajua zaidi.... sio yule ulosingiziwa hapana! Biological father wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na sasa anataka umpe kura ili akuonyeshe kwamba yeye ni nani😂😂Mama mwenyewe kakiri hadharani kuwa kafika pale kwa kudra za Mwenyezimungu akimaanisha kuwa bahati imemembeba.
Na sasa anataka umpe kura ili akuonyeshe kwamba yeye ni nani[emoji23][emoji23]