Gwajima wa JF uko sahihi. Hongera kwa ujasiri wa mada hii. Wala huhitaji kujieleza, kujitetea maana hoja yako ni kweli. Na ukweli ni mchungu tena unauma.
Mamlaka zote, au uongozi hutoka kwa Mungu aliye juu. Na yeye ameweka wazi katika Biblia (ile wanayotumia kuapa hao viongozi): KAZI YA KUONGOZA NI MWANAUME
Katika habari za watu wangu, watoto ndio wanaowaonea, na wanawake ndio wanaowatawala. Enyi watu wangu, wakuongozao wakukosesha, waiharibu njia ya mapito yako.
Isa 3:12 SUV
Katika habari za watu wangu, watoto ndio wanaowaonea, na wanawake ndio wanaowatawala. Enyi watu wangu, wakuongozao wakukosesha, waiharibu njia ya mapito yako.
bible.com