Sawa Baba Askofu, tumekusikia. Tunasubiri tu ubadili tena gia angani na kuunga mkono chanjo uliyo ipinga kwa nguvu zako zote. Maana kiukweli wewe ni kiumbe kigeu geu na kisicho tabirika.Habarini za leo ndugu zangu, nimetafanari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Ni mawazo yangu, naomba sana Moderator usiyapige rungu.
Jikaze tu, mama tunaye sana panapo uhai. Tutampa tena na tena.Kweli kabisa mkuu
Mkuu tupo pamoja ondoa shaka, na tunasimama na mtoa mada.Wahenga tumebaki wachache sana ktk hiki kizazi cha 4, sujui sababu ni nini hadi tunapungua kwa kasi sana.
Au ndiyo mwisho wenyewe huu wa dunia [emoji848]
Wanawake hawawezi bila kuwezeshwaHabarini za leo ndugu zangu, nimetafanari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Ni mawazo yangu, naomba sana Moderator usiyapige rungu.
Umenena vyema mkuuMkuu tupo pamoja ondoa shaka, na tunasimama na mtoa mada.
Haya mambo yao ya haki sawa watakuwa wanaambiana huko huko kwenye viwanja vyao ila kwa upande wa misimamo yetu juu ya nafasi za juu kabisa kiuongozi ni za mwanaume na si mwanamke.
Pia tunavyo wasomesha na kufanikiwa kupewa hizo nafasi hakika hawatakiwi kukaa pale juu.
Gwajima wa JF uko sahihi. Hongera kwa ujasiri wa mada hii. Wala huhitaji kujieleza, kujitetea maana hoja yako ni kweli. Na ukweli ni mchungu tena unauma.Habarini za leo ndugu zangu, nimetafanari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Ni mawazo yangu, naomba sana Moderator usiyapige rungu.
Sisi wanaccm wooote mkoa wa Unguja Magharibi tutampa kura zetu zooooote mh Dr Freeman Mbowe awe Rais wa Tanzania mwaka 2025, watake wasitake Mbowe lazima awe Rais.Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.