Maelezo yake ni kama mwanamke.Una uhakika gani ulikaa nao miaka 10 bila kujua? Una uhakika gani yeye ndiyo kakuambukiza?
Je unajua siyo lazima ufanye mapenzi na mwathirika na wewe uambukizwe?
Ninachosema ni kwamba unaweza kusema tuu kwamba yeye ndiyo kakuambukiza kama tuu ndani ya hiyo miaka 10 haukuzini na mwanamke mwingine.
Btw kuwa na UKIMWI siyo mwisho, jitunze kuna magonjwa hatari zaidi ya huo na yanaambukizwa kwa zinaa pia.
Mimi ni dada, hawa watu niliyokutana nao baada ya kuacha a na jamaa walipima kabla lakini mimi nilijihakikishia sina maambukizi.Una uhakika gani ulikaa nao miaka 10 bila kujua? Una uhakika gani yeye ndiyo kakuambukiza?
Je unajua siyo lazima ufanye mapenzi na mwathirika na wewe uambukizwe?
Ninachosema ni kwamba unaweza kusema tuu kwamba yeye ndiyo kakuambukiza kama tuu ndani ya hiyo miaka 10 haukuzini na mwanamke mwingine.
Btw kuwa na UKIMWI siyo mwisho, jitunze kuna magonjwa hatari zaidi ya huo na yanaambukizwa kwa zinaa pia.
Nimeona mwandiko kama wa kiume[emoji13][emoji13][emoji13]Maelezo yake ni kama mwanamke.
Uwe unaniita nakutabiria.Nimeona mwandiko kama wa kiume[emoji13][emoji13][emoji13]
Kuwaonya jamani ugonjwa uko kila mahali. Huyu Zabron Baba yake ni daktari mfawidh Muhimbili hakuna aliyeamini kuwa ni muathirikaSo, unataka kutuambia nini Dada Protein?
Naona kama umefunga break ya gari lako ghafla.
Duuh, pole. Songa mbele usikate tamaa.Yaa kwa kujiamini kuwa niko Ulaya nilihakikisha wanapima kwanza. Ninakumbuka nilipima 2005 nikawa mzima. Basi kila aliyeniuliza nilisema ninepins.
Kuna siku nikiwa kwenye shrehe watu walimuongelea Zabron slivyoumwaga Ukimwi Stockholm ndipo masikio yalinifunguka.
Ni kweli kabisa mkuu. Baada ya leo Protein anaondoka leo ameamua kufungukaWatu wana underestimate spread ya ukimwi, yaani ukifanya mapenzi bila kinga ukabahatika shukuru sana, watu wengi they simply don't care wakidhani waathirika ni wachache, waathirika ni wengi zaidi ya watu wanavyofikiria, waliopima ni wachache.
For this thread onlyNew ID
StockholmUpo sweden mji gani?
Shukran mkuuNiseme tu pole...