Mimi ni mtu wa aina gani?

Ni kawaida tena hauko peke yako.

Mimi sinywi pombe, sivuti sigara, siyo mtu partying wala totoz, siyo shabiki wa mpira, betting wala movies 🤣🤣

Yaani mimi maisha yangu nayajua mwenyewe tu na niko vizuri kabisa, nikiwa stressed nalala tu.

Muda mwingi nazurula tu mitandaoni, naandika andika basi.

Tena hata kupigiwa simu siku hizi hususani zisizo na maana yoyote nakereka sana😠
 
Wewe ni introvert mkuu.
Tena bora hata wewe una marafiki wawili.

Uko sawa tu mkuu.
 
Jaribu kubadili aina ya maisha unayoishi uone kama bado utaendelea kuwa hivyo

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Yani huna tofaut kabisa na mm. Mda mwngne kama naona huyu simu yake itakuwa haina maana huwa sipokei kabisa
 
Ulijuaje!![emoji123] huwa hatunaga muda na mademu ila tunajikuta kwenye mahusiano pasipo kutongoza
hapana ni zaidi ya moja na wote walinipenda wenyewe.si unajua Tena introvert ni waoga kutongaza mademu.[emoji3][emoji3].!

So mademu utupenda wenyewe kutokana na upole wetu.!
 
hapana ni zaidi ya moja na wote walinipenda wenyewe.si unajua Tena introvert ni waoga kutongaza mademu.[emoji3][emoji3].!

So mademu utupenda wenyewe kutokana na upole wetu.!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] so upole ndo unawabeba.so unaishije unanunua malaya
 
Nawe uko hivo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…