Mimi ni mtu wa aina gani?

We ni mchoyo
Sielew n nn kinafanya watu waamin mtu anayefanya mishe zake ni mchoyo ,mbinafsi sijuin nn kinawakumba watu wenye hyo akil

Hamjui watu aina hii wanaptia shda gan na wanakuwa affected sana pale wanapoangushiwa lawama ambzo kwao si za kwel

Tunaishi dunia tofauti ni ngumu kumuelewa introvent kama ww sio introvent. Kuwa introvents ni zaid ya mateso kwa jamii za kiafrica
 
Sure
 
Sijaona kama ni ajabu nikawaida sana na ni choice tu mwenyewe nipo hivyo kuhusu marafiki ninao wachache sana my rule "LESS FRIENDS LESS BULLSHIT" so sitaki marafiki kibao halafu uchwala

Mi napenda nature kutembea milimani au ziwan na nikichoka kusoma mkala za self development home basi napenda kutembea ya mguu huku nasikiliza music na kupiga picha za simu hasa sun set/Landscape.

Nikipata hela basi naingia zangu Hifadhini kurefresh basi ndio starehe yangu kubwa sana sishind bar au kwenye kumbi za starehe.
 
kwa hiyo umewahi kuwa na demu mmoja tu au kuna mwingine
hapana ni zaidi ya moja na wote walinipenda wenyewe.si unajua Tena introvert ni waoga kutongaza mademu.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.!

So mademu utupenda wenyewe kutokana na upole wetu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ