pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 238
- 271
Naonaga huenda kama siko sahihiMbona kawaida tu
Walio elewa wameshaelewaKama hilo jina ndio lako halisi, basi tatizo linaanzia hapo kwenye umri....unawezaje kuwa na utoto na utu uzima kwa pamoja? 20 - 30 years of age sio?
Who is frustatio??Umeshawahi kuishi na frustratio
Hizi effects za stress. Kama umeshapitia vipindi vigu vya personal problems matokeo yake ni hayo.
Binafsi mimi naona huna tatizo mkuu binadanamu tumeumbwa na hulka tofauti tofauti ambazo huwa zingine ni za kuzaliwa nazo zingine ni kutokana na mazingira uliyoishi tokea utotoni,,,,hivo ndo inatufanya tuwe tofaut ingawa muda mwingine hulka ya namna kama yako ikizid sana inaweza kukuletea msongo wa mawazo na kishindwa kutatua matatizo na kutengeneza fursa za mafanikio.
Ila ukiamua kubadilika inawezekana pale utapoamua mfano hufatilii mpira unaweza kusema sasa nataka nifatilie mpira,,,,unape nda kukaa ndani unaweza kuwa na ratiba yako ya siku nzima kwamba muda flani ntaenda sehemu fulan au kumtembelea flani hivo ukiona hiyo hali huitak unaoweza kabisa kuifundisha akili yako wewe nini unataka baada ya muda utabadika kabisa!!
Sio ajabu sana. Utakuwa mtu mwenye akili zaidi kupita watu wa kawaida, na akili yako imepangiliwa sana, yaani upo objective zaidi na unapenda mpangilio wa mambo, au unapenda kila kitu kiwe na maelezo mazuri (logic) la sivyo hakifanyi maana kwako. Ni mtu mwenye kuvutiwa zaidi na mantiki kuliko hisia. Pia ni mstaarabu na mpenda haki. Hizi ni baadhi tu ya tabia zako nzuri. Kadiri unavyokuwa mkubwa utajigundua zaidi na utajimudu na utaweza kuwa mtu wa kuaminika sana. Elekeza nguvu zako zaidi kwenye kuwasaidia watu kwani unaweza mengi ambayo wengi hawayawezi. Kwa namna hii utafungua mlango kwa wengine na pia utakuwa sehemu muhimu ya jamii kwa kujumuika na jamii kupitia vipaji vyako.
Katika tabia iliyonishinda maishani mwangu ni kujipendekeza kwa mtu. Kasoro mwanamke tu!! Ambaye nahisi nitakuwa na malengo nayeAcha ubinafsi na kujipendekeza kwa matajiri
Na ndivyo unatakiwa uishi hivyo mkuu ..hakuna la ajabu hapo .
Introvert.
Huna Tatizo chief. Upo salama kabisa.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app