TIKITI MAJI
Kwa dar es salaam kuna aina ambazo zinafanya vizuri ambazo ni Sugar baby,Zebra na F1 pia TIKITI MAJI ukua kwa muda wa miezi mitatu tu mpaka unavuna
MAGONJWA
Magonjwa yanayoweza shambulia tikiti maji ni kama
Early bright (ukungu)
Latebright
DAWA ZA KUZUI
Nikama zifuatazo
Ivory M72WP
Linking 72WP
Masterkinga 72WP
Pamoja na Framer Zeb80WP nikinga ambayo upuliziwa kabla magonjwa yajashambulia matikiti maji
DAWA ZA KUKUZIA (BUSTER )
Hizi uwekwa baada ya wiki 5ukipanda tikiti kwajina ni POLYSEED (NPK)19:19:19 tunaweza ita starter
KUZUIA MAGUGU
Kuanzia wiki tatu baada ya kupanda shambani tunatumia
AGROQUAC
AGROMINE
AGROROUND
KUZUIA WADUDU
Tunatumia dawa hizi
NINJA
SUPERCROWN
AGROCROWN
Tuanzia hapo jamani kuendelea