Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Umeshapata mchumba au bado.mi nina umri wa miaka 26 nipo nyuma ya vigezo vyako ila nipo tayari kujitosa kwako.njoo pm.
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please

Njoo pm. Nna cfa za ziada
 
Elimu ya chuo kikuu nadhani hujaielewa vizuri, kuna watu wanaenda kusoma chuo kikuu akiwa ametoka form IV "Certificate". sasa eleza vizuri unataka ambaye amewahi kusoma chuo kikuu tu au mwenye elimu level kama ya kwako. Walioenda chuo kikuu ni Certificate, Diploma, Degrees, etc unataka kipi?. Kuna pipo wametoka chuo miaka mingi na hawana ajira na wala hawaoni dalili za lini watapata ajira na mitaji hawana pia, wana miaka zaidi ya mitano mtaani. Funguka uwapate watu unaowakusudia, lasivyo hata mm nitakuambia NITAKUFAA kuwa bwana ako kumbe NAKUTANIA nataka nione lisura lako alafu nilinganishe ni wale ninaowategeshea maisha!
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Wewe c mwolewaji make shart ni gumu
Lkn pia naomba utupie picha yako humu ili tukuvalue
 
Mi nina above 30, sina mchumba wala girl ila nina mke, so karibu dada mana natafuta mchumba
 
Karibu ni pma wewe ndo mwenye shida ya mchumba vigezo vyote unavotaka ninavyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom