Mimi ni mpole na ni mtu wa kukubali yaishe, marafiki wengi wamenidhulumu!

๐‚๐จ๐ฆ๐ž ๐๐Œ ๐ฎ๐ซ๐ ๐ž๐ง๐ญ๐ฅ๐ฒ
 
๐ˆ๐‹๐ˆ ๐Š๐”๐„๐๐”๐Š๐€ ๐”๐Œ๐€๐’๐Š๐ˆ๐๐ˆ ๐Š๐”๐–๐€ ๐๐€ ๐Š๐ˆ๐€๐’๐ˆ ๐‹๐€ ๐’๐ˆ๐•๐˜๐Ž ๐”๐“๐€๐’๐‡๐ˆ๐๐ƒ๐–๐€ ๐Š๐”๐…๐€๐๐˜๐€ ๐˜๐€๐Š๐Ž
 
This guy is just like me na sio kwamba ni malezi au la kuna watu walizaliwa ivyo yan tuko ivyo tu naturally

Mimi pia ni mpole na mwenye huruma na muoga na mwenye aibu ila nikikasirika hua ni jasiri na mtu pengine katili sana mimi ata patokee ugomvi namna gani siwezi kugombana ila nikiingilia ugomvi ujue aidha nikutoa mtu dam au kuua kabisa

Mimi ni aina ya watu ambao ni introvert in public siongei ila in private naongea ila pia adi nikuzoee

Ni kweli am a yes man mara nyingi nikiombwa kitu na mtu kama ninacho hua siwezi kumnyima
Lazima nitatoa na ata kama sina lazima nitamuaidi kumpa pindi nikipata

Nimesha dhurumika sana kama mtoa mada ila kutokana na experience ya maisha I think nimeanza kua na balance kutokana na majukumu kuzidi

I mean HURUMA ipo AIBU ipo UWOGA upo ILA kama huna shida ya msingi hua sitoi kitu ata kama ninacho

Pengine mtoa mada tembea na hii kama simtu wako wa karibu na ata kama akiwa mtu wa karibu na kama shida yake sio kubwa kias icho ni bora usimpe mtu uyo msaada.

Kinacho nisaidia nina marafiki hawazidi wa 3 hawa ni wale marafiki ambao nais wakipatwa na shida niko radhi kuuza kitu changu cha thamani ili niwasaidie imagine nimeugua rafiki ananitengea maji bafuni anakufulia adi nguo just a friend

USHARI : kama kusema No kwako ni kazi ngumu na hii sikulaumu maana auko mwenyew kuna watu mamilioni wana moyo kama wako na wangesema YES just like you fanya kitu kimoja mtu akikuomba ef 10 kama unayo nibora umpe ef 5 nahii iwe kanuni ata kwa madem akiomba 100k mwambie una 40k huu ni msaada utakaoutoa ambao Hauto kuachia maumivu

Ukiniomba 20k nikikupa 5k hutoniona mbaya hii ni NO yenye chembe chembe za yes next time huyu mtu akiwa na shida ataanza kuona uvivu wakukuomba tena atakuona nawew unaungaunga .

Ongea lugha ya kirafiki mwambie ndugu yangu pole kwa changamoto iyo umeniomba 500k ila umenikuta niko vibaya ila walao naweza kukukopesha 100k then kazi ibaki kwake..

MWISHO KABISA : inabidi uoe ukioa utakua na maesabu makali kias kwamba ataizo NO zenye chembe chembe za YES zitayeyuka nakua NO original Hujawai kuona kweny familia ndugu wanalalamika et yani kaka yetu fulani au uncle fulani alikua Ana roho nzuri ila alipooa tu akabadirika ! HAJABADILIKA na pengine anataman kuwasaidia kama zaman ila MAJUKUMU tu yamembana sana .

The end .
 
Nashukuru. Ila si rahisi kuwachunia ndugu waliokupiga tafu ukiwa na shida. Ni laana! Ndugu hawachuniwi. Hasa kama walisota pamoja nawe, na ku share walichonacho kwako, ukiwa huna kitu.
 
Ndomana nikasema kama kusema NO ningumu punguza kiasi cha msaada ndugu akikuomba 100k mpe 50k hii itakusidia wew na sio wao maana moyo wako ni wa huruma kwaiyo kumnyima mtu msaada bora ukampa walau kwa kias kidogo ili ile shukurani yake itulize moyo wako na ubaki na amani

Nadhan nimeeleweka
 
Hili nalo ninalo pia. Nina miaka 25 ila sijawahi kuwa kwenye mahusiano. Nilikuwa nikinunua makahaba mara nyingi.
Achana na makahaba we mzee wewe,utakuja kujutia ujue shauri yako,mbona mi mpole na mkimya tu ila nna bebe kama tisa hv..na zinaniitaga baba mchungaji kwa kuwa na act very calm around them. Tafta bebe acha mambo ya mapaka hayana mpango hayo,kama huwezi kutongoza omba nkusaidie .
 
Kigupi watu ngozi nyeusi kuna shida

Wahindi,waarabu na wapemba hukopeshana pesa hata mabilioni bila maandishi na mtu hulipana bila shida
Ngozi nyeusi akikopa umfuatilie wee na bado atafoka kulipa shida

Ngozi nyeusi akiwa na shida akija kwako kukopa au kuomba asaidiwe mnyenyekevu hadi mbwa na paka unawafuga atawaamkia shikamoo

Siku wewe upate shida hata hajali hata uwe uliwahi kumsaidia vipi
Pole kwa yaliyokukuta wengi wa aina yako yamewakuta .

Mwenyezi Mungu atakusaidia
Hii shida sjui kwanini wabongo wengi tunayo?,nadhani sisi wabongo kuna mahali tumelaaniwa.
 
Achana na makahaba we mzee wewe,utakuja kujutia ujue shauri yako,mbona mi mpole na mkimya tu ila nna bebe kama tisa hv..na zinaniitaga baba mchungaji kwa kuwa na act very calm around them. Tafta bebe acha mambo ya mapaka hayana mpango hayo,kama huwezi kutongoza omba nkusaidie .
Nisaidie mkuu. Niko serious! Na nitakufa kivipi nikinunua makahaba?
 
Achana na makahaba we mzee wewe,utakuja kujutia ujue shauri yako,mbona mi mpole na mkimya tu ila nna bebe kama tisa hv..na zinaniitaga baba mchungaji kwa kuwa na act very calm around them. Tafta bebe acha mambo ya mapaka hayana mpango hayo,kama huwezi kutongoza omba nkusaidie .
Unafanya kazi/unajitegemea?
 
Back
Top Bottom