Mimi ni mme wa mtu, ila nimempa staff wangu mimba, nifanyaje?

Ndio nyie huwa mnachaguana mnapoenda trip, mnaenda mume wa mtu na mabinti ama mke wa mtu. Nahisi pia mkienda trip za kulala hukohuko huwa mna minimize cost kwa kulala chumba kimoja kwenye magesti. Huwa mnachekelea mpaka meno ya mwisho yanaonekana, alafu mnajifanya mmeyamaliza ktk dunia hii. Pole sana, tendo lako limekuwa na faida kubwa kuliko hasara na ndo maana mnakwenda kupata mtoto. Oa ndg yangu maana hakuna njia nyngne tena, umejipatia second wife hongesa sana. PSI matumiz ya kondom yanahimizwa sana kupita maelezo, hata mabango yenye maneno (ukimwi upo, ukimwi unaua) hamuyaoni au mnaona aibu kwenda dukani kununua. Mnavyoingia gesti huwa mnajificha ficha sana, kweli ukimwi hautaisha! Tanzania tuna vichwa vigumu sana. Mapenzi matamu sana aisee!
 
Haina Shida Ukiweka Mimba Staff Mwenzio,maana Mtoto Atakuwa Na Uhakika Wa Kula Kuvaa Na Elimu Maana Mama Yake Anakazi, Ebu Mtafute Mwingine Mwenye Pesa Mweke Mimba, Mie Nina Watoto 17 Kila Mmoja Na Mama Yake, Mama Zao Wote Wanakazi,majukumu Wananizaidia
 
Waungwana nina mke na watoto watatu, sasa marafiki imetokea nimempa mimba staffmember wangu sasa sijui nifanyeje.

Naombeni ushauri coz nimekwama.
Plz nd plz help mem
Mtunze kwa upendo, usimfanye awe na stress, mpeleke kliniki na mpimwe wote. mtoto akishazaliwa mpe haki zote. Kuhusu mkeo akili kichwani mwako, ila usirudie tena kuchepuka.
 
Uoga wako = umasikini wako

Ongeza mtoto wa 4 hapo safi sana. Sebene mkilicheza vizuri lazima litoe matokeo murua. Hongera mkuu.

Ngoja azaliwe mtoto, halafu ndio uje kuomba ushauri. Kwa sasa mtunze mama kijacho kimya kimya
 
Ungemshirikisha mkeo angekishauri vizuri na jinsi ya kupanga matumizi baba. Hongera sana kwa mtoto ajaye.
 
Acha usumbufu bana wakati unamtier hukujua kama anafahamiana na mkeo?
na hivi wife ndo kidume ndani jiandae kutupiwa zubeda yako nje

Atakua anamatatizo ya akili huyu sio bure, wakati unadumbukiza kibamia chako ulituomba ushauri!!!! Vipi Leo umepata matokeo unalia na sisi? Kamuambie mkeo huo upuuzi wako
 
Back
Top Bottom