Mimi naishi Butiama. Watu wakitaka kuja kunitembelea,wanafukuzwa,kwa sababu,sasa najua sababu ,kama nilivyoelezwa juzi,kwamba mimi ni mfungwa ambaye hapaswi kutembelewa na wageni.
Sisi watu wa Illuminati Order tunachukiwa sana. Unajua Illuminati ni nini?Jinsi Adam Weishaupt alivyoianzisha Bavarian Illuminati.
Soma Memoirs of the History of Jacobinism cha Barruel,au Proofs of a Conspiracycha John Robison. Kile kitabu cha kwanza ni more detailed.
Hiki cha pili ni more analytic.Kwamba Weishaupt alikuwa Jesuit,akaamua kwanini asiunde Chama kipya kuiasi dini,lakini kutumia mbinu zile zile za Jesuit Order na ,in fact,mbinu za all monastic orders.
Mimi,of course,sipo katika Satanic Orders,nipo katika Budhist Order,na sheria yangu ni vinaya. Kwa mtu yeyote kuniita chizi,that is the joke of the century.
It is interesting jinsi Magufuli alivyochaguliwa. Nilikuwa namsikia Anne Makinda anatangaza jana. She seemed to be taken aback. Makinda ameshangaa,Magufuli pia ameshangaa.
Kwa CCM nadhani,it is the best choice. Yule mtu amechaguliwa kwa vile ni scientist. CCM imechagua vizuri. Mambo yanavyokwenda,so far so good.