Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,030
- 3,324
Kusema uongo iko kwenye amri kuu za mungu,kwa hiyo kusema uongo ni kazi kubwa kuliko kuibaHuyu mtu ktk mkutano wa Magufuli kule Arusha jana 23 September anayeitwa Elrehema Ndelekwa Ayo,.
Alisema yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Meru na i mmoja ya waliofanya kazi ya kumpitisha Nassari. Na akasema anarudi Chama cha mapinduzi maanaanachofanya JPM ndicho mioyo yao ilitaka.
Sasa nashangaa, anasema yeye ni katibu mwenezi wa ccm alafu wakati huo huo anasema anarudi ccm, sasa nashindwa kuelewa hapa.
UVCCM tujuzeni hapa
Ile clip ni hatari mzee yani imemvua nguo zote,aibu aibu,usishangae kesho kusikia mzee kijana katibu mwenezi akaita press akasema ile video ime editiwa sauti ili kumchafua mwenyekiti wake.Lugha gongana
"Wako wapi wale watu wako, w@pumb@vu kabisaaa" by jeipiemu.
Nimeona hiyo "wako wapi watu wako"Yani hawa watu wana mambo ya hovyo sijawahi ona..., na ndo maana jana Gambo pamoja na hao mapandikizi wametukanwa hadharani na mfalme ha ha haaaaaa....
Yani waliambiwa wapumbavu kabisa.. Yeuuuuwi mbafu ssangu mie
Video ina masaa manneUngeweka na kipande cha kideo
Sio kuandika maneno yako..
Rudi ukamsikilize tena uelewe.
Video tayari sasa kaangalieUngeweka na kipande cha kideo
Sio kuandika maneno yako..
Rudi ukamsikilize tena uelewe.
Video tayari sasa kaangalie
Mimi sikumuelewa alafu niliona kama polepole alitaka kumstua ila ikawa too late, pole pole akabaki kukenua meno tu
Angalia ni dk ya ngapi hapo kwenye picha hapo juu then uangalie kwenye hii video hapa uyo mzee akizungumza. Video ni ndefu mno ina masaa manne
Huyu mtu ktk mkutano wa Magufuli kule Arusha jana 23 September anayeitwa Elrehema Ndelekwa Ayo,.
Alisema yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Meru na i mmoja ya waliofanya kazi ya kumpitisha Nassari. Na akasema anarudi Chama cha mapinduzi maanaanachofanya JPM ndicho mioyo yao ilitaka.
Sasa nashangaa, anasema yeye ni katibu mwenezi wa ccm alafu wakati huo huo anasema anarudi ccm, sasa nashindwa kuelewa hapa.
UVCCM tujuzeni hapa
Ulielewa vizuri elezea tafadhali kadamnasi inakutegemeaKwani nilisema sijaiona!? Nikipata muda nitaipitia
Nimependa ulivyoongezea habari ila umepoteza muda wako kwasababu haukuelewa.. sikutaka kukuambia hilo bila wewe kuweka kideo cja youtube.. usingekalia maneno ungeyameza hata kufikiria kwanini alitamka hayo unayotaka kupindisha.. ila kumbuka yeye ni CCM tangu siku alikimbia chama kichovu na sio juzi.. na pia amepewa cheo alipohamia na ndio alikitaja.. sasa rudia wewe kumsikiliza.