Mimi ni fundi umeme wa uhakika, nipe kazi nikufungie

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
5,110
21,657
Nafanya kazi za wiring nzuri kwa bei ya kawaida tu ya Mtanzania, naenda popote pale kikubwa maelewano. Nina uzoefu wa wiring na pia sidharau kazi kama una kifaa chochote cha umeme unaitaji kufungiwa basi we nitafute nije kufanya kazi, nipo Dar es Salaam

Mawasiliano nipigie 0652868486.

tapatalk_1662440106705.jpg
tapatalk_1662440113320.jpg
20220902_133136.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom