Mimi ni Dalali: Niulize chochote unachohitaji au unachotaka kuuza au kununua

HEKA ZINAUZWA MAPINGA, ZIMEPIMWA NA ZINA OFFER, ZIPO KATIKA TOWN PLAN...Bei Million 21 kwa kila HEKA MOJA ,,zipo katika Town plan,,Nauli ni 500 tu kutoka bunju hadi mapinga...Zimepimwa na zina offer,,Ni meter 300 adi 500m kutoka barabarani..Zipo upande wa bahari.... >Karibuni mawasiliano 0672211602
 
Tunahama morogoro..tunauza vifaa vya ndani..sofa..kitanda..godoro...jiko la gesi...mtungi wa kg 15 wa gesi...tafadhali aliye tayari kuja kuviona atupm
 
Najihusisha kukukutanisha na watu wanaojihusisha na maswala mbalimbali.

Wafuatao ni moja ya huduma ambazo tunatoa;

Maswala ya viwanja, nyumba, frem, magari, mazao mbalimbali, ma-house girl / house boy, mchumba, rafiki, walimu wazuri wa tuition, solar power, vifaa vya ujenzi, kusafirisha mizigo popote Tanzania na Afrika Mashariki, biashara za mifugo na wanyama jamii ya ndege kama kuku, kware, njiwa.

Pia tunajihusisha na kukutafutia mahoteli mazuri popote ulipo.

Karibu sana tunaweza kukuunganisha na watu wanaotoa zaidi ya hizo huduma.

Karibu sana
..
Mkuu nataka mwanamke mwembamba ila nyuma kuwe manshallah kimtindo awe na karangi ka kuvutia kama yupo mkoan aje na akili zake tu tabia ataikuta hapa dar
 
Naomba kupata mawasiliano na Dalali yoyote wa Moshi kwa ajili ya kupata Nyumba ya kupangisha maeneo ya RAU au KCMC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom