Mimi naweza kuunda tume kuhusu ajali ya meli-waziri wa miundombinu zanzibar

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Waziri wa miundo mbinu amesema yeye ana mamlaka ya kuunda tume,lakini pia amesema kuwa japo watu wamekufa lakini na mwenye meli nae amepata hasara maana suala la kuzama meli si dogo,,,,,,,,,,
sosi:bbc
 

utantambua

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,367
319
lakini pia amesema kuwa japo watu wamekufa lakini na mwenye meli nae amepata hasara maana suala la kuzama meli si dogo,,,,,,,,,,<br />
sosi:bbc

Hivi bado hana jina tu huyo mmiliki? Halafu hiyo sentensi inaashiria kama vile wana sympathise na mmiliki. Walahi hatukubali, atajwe na a-face justice
 

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Amemtaja huyo mmiliki kina sijalishika,ila alivyoongea tone ya sauti inaashiria kuwa anasikitishwa sana na uharibifu wa meli,,,,,,,
Hivi bado hana jina tu huyo mmiliki? Halafu hiyo sentensi inaashiria kama vile wana sympathise na mmiliki. Walahi hatukubali, atajwe na a-face justice
<br />
<br />
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom