lakini pia amesema kuwa japo watu wamekufa lakini na mwenye meli nae amepata hasara maana suala la kuzama meli si dogo,,,,,,,,,,<br />
sosi:bbc
<br />Hivi bado hana jina tu huyo mmiliki? Halafu hiyo sentensi inaashiria kama vile wana sympathise na mmiliki. Walahi hatukubali, atajwe na a-face justice