Mimi natania tu....

Mimi natania tu....

mara gafla badiliko la mawaziri linaitishwa riz mo1 anachukua wizara ya usafirishaji na uchukuzi. Ha ha ha utani tu.
 
Mara Quotes Master anaongea point,no mi natania tu!
 
Mara pinda na wasira wanakuwa na sura nzuri kama yangu, aaa NATANIA TU JAMANI ila kweli.
 
lusungo hebu fuatilia post namba 7 na 8 halafu uniambie umeelewa nini...

natania tu!
 
Last edited by a moderator:
Hahhheeehh asee utani wako mbaya lkn acha utani bc utapigwa bure na tusiopenda utani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom