holygrail
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,303
- 597
Mimi napenda utani sana wajameni....
1.mara ghafla chadema wanashinda kwa kishindo uchaguzi wa 2015...natania tu...
2.ghafla bin vuu dr. Salaha anakuwa rais wa JMT halafu mbowe anakuwa PM. Teh!teh!teh!...me natania tu!
3.kutahamaki Le mutuz anaacha utoto na kuwa mtu mzma kimawazo afu anagombea jimbo la babake anachaguliwa then anapewa uwaziri mkuu....hahahahahah hehehehehe...jamani mi natania tu..,
4.ghafla bunge maalum la katiba linapitisha serikali tatu halafu kila serikali inajitegemea jamani....
Hahahahahah!....me natania tu!....
5.mara shaaaaaa!! Zitto kabwe anagombea ubunge 2015 kupitia ccm na anashinda....
Hahahahahah...mbavu zangu jamani..ila mi natania..
6.mara edward lowasa anamshinda membe na kupeperusha bendera ya ccm 2015.....
Teh!teh!teh!...me natania tu!
Kwani wenzangu hampendi matani wakuu. Hebu tutaniane basi jamani.