Mimi nataka tu kufahamu nyie watu mnao date mnawezaje jamani

Unazungumziwa Ku-Date au kutongoza naona Kama unachanganyabvutu unasema unashangaa watu wakiwa Dating inamaana kutongoza kwako sio tatizo unaweza na unaye demu ila ujawai fanya Dating na kuongea kubadilishanana idea au sijaelewa

Nahisi Title ilibidi iwe hujui kutongoza

Then kutokuwa muongeaji sio excuse ya kutokuwa na mahusiano sisi wengine introvert na bado tunatonhoza na tuna Date, kujifanya sio muongeaji utapata shida hata baadhi ya kazi
Ndo maana hata professional yangu sio ya kuongea
 
Ajira ngumu mimi nafanya kazi nje ya professional yangu na ofisini bila kuongea huwezi kumejaa matani so ji position labda uwe na uhakika wa maisha
Uzuri m najua kuishi na watu tofauti tofauti na jinsi ya kuzoea mazingara, hii sio ngumu kwangu kiongoz niko vzuri kwenye hilo
 
Ni vumilie tu
aah aah...
fuata hich ulichoambiwa 👇
basi tafuta hela na uache udomo zege. If u want something go for it.
kwa maana 👇
1683891131096.png
 
Mm katka maisha yangu huwa sipendi kufanya vtu vya uongo ili mradi tu nionekana, sipend fake life. Mi ni mtu ambaye mkweli na huwa sipend sana majivuno ambayo mm sina. Uongo mbaya
Mimi nakwambia nini hii jinsia ya wenzetu wanapenda kusikia, suala la kuamua kufanya au kutokuamua itabaki kuwa juu yako. Kuwa mkweli uendelee kuteseka au kuwa muongo pro ule mema. Hiyo ni eksipiriensi ya miaka mingi.

Mwanzo tia fiksi mpaka ajue anakabidhiwa dunia, baada ya hapo ndio utajaribu kumweka wazi halafu yeye atachagua anabaki au anasepa.

Kama hilo huwezi tafuta pesa, ukiwa na fedha automatiki unakuwa unawaka flani hivi, pesa huwa haijifichi mdogo wangu. Vaa smart, nukia vizuri, acha kukaa ndani, usitembee kinyonge, acha kutia tia huruma, jiamini. Itafika steji utaanza kuwakimbia.
Kazi kwako.
 
Habari zenu wakuu

Mm ni kijana wa kiume, katika maisha yangu huwa nashaanga sana kuona kwamba watu huwa wana date. Unakuta mwamaume na mwanamke wako kwenye mahusiano wanaonhea zao na kufanya yao.

Kwa kweli kwa uoande wangu yaani hii kitu ni ngumu sana sio utani, sijawahii ku date japo huwa nataman sana niwe nami hata niwe na rafike wa kike ambaye nutakuwa nae tu share vitu fulani hv kwenye maisha hapa na pale ila siwezi.

Nilicho kuja kugundua kwangu laba ni kwasababu mm sio mtu sana wa kuongea na pia n mtu mkimya sana, sipend sana kuongea ila ni mtu ambaye nina upendo wa dhati na huruma sema sijui laba ni kauwoga au ndo kwamba kuto kujiamini.

Msaada wenu ni mbinu gani nitumie

Jinsi: kiume
Brooo jichanganye na watu wa rika lako au njoo pm utanishukuru
 
Una umri gani?
 
Back
Top Bottom