Mimi nataga!!!!

Joined
Jul 16, 2011
Posts
26
Reaction score
1
Baada ya madaktari bingwa wa akili kushughulika na wagonjwa wao kwa mda mrefu,hatimae wakapata nafuu. Siku moja madaktari wakawakuta wako nje wanawika kama jogoo...kokolikoooh.., lakin mmoja wao alikua kimya madaktari wakadhan yeye ndo kapona. Wakamuuliza mbona hufanyi kama wenzako? Akajibu..sshhhii...mimi nataga..
 
<br />
<br />
ULITAGA YAI KIUKWELI .LAKINI NINAVYO IELEWA HIYO STORY JAMAA ALIKAA KWENYE MARANDA AKAWA ANAJIKAKAMUA AKAULIZWA AKASEMA NATAGA .UTASUE LKN NIUTANI TIKY HABARI YAFO
 
<br />
<br />
ulitaga yai kiukweli .lakini ninavyo ielewa hiyo story jamaa alikaa kwenye maranda akawa anajikakamua akaulizwa akasema nataga .utasue lkn niutani tiky habari yafo
nangsha tiki mwenedu,ukerifo na kaoru
 
Wuu nangsha kabsa ng'ivia mringa wamakuuta uleshka fokwamonu thau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…