Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Hivi ile bandari ya bagamoyo imefikia wapi? na mikataba kumi na saba ya china? Kwasasa mimi naona mauzauza tu Mara reli mpaka Rwanda, Mara bomba la mafuta Mpaka uganda, mara kuna baadhi nchi zinanuna. Mara yale maproject na northern Corridor siyasikii tena lol.
JPM norma sana.
JPM norma sana.