figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,957
- 63,767
wali waliwa. mia
hasa ukiwekwa nazi.
chezea weyee.. wali nazi noumer
Ubwabwa km ubwabwa au ubwabwa changa la macho????
unamaanisha ubwabwa bokoboko?
Ubwabwa!
Ukiwa mchache >
vijibwabwa
Ukiwa mwingi >
mibwabwa
Pia nadhani inawezekana kikawa chakula pekee chenye utajiri wa majina kuliko vingine kwa hapa Tz kuanzia
Mpunga
Mchele
Wali
Ubwabwa
Pilau
Biriani
hii kitu ubwabwa ni noma nakumbuka zamani kijijini kwetu siku ya xmas au pasaka bila kupika ubwabwa kila raia ndani atanuna maana ubwabwa ni mpaka sikukuu, halafu mkishakula unaacha punje moja shavuni na haunawi mikono unaenda kuwaringishia wenzio
ubwabwa ukimaanisha upunga?
wa nazi na nyama ya mbuzi. hamdulillah. ova
Hahahaha!
Kitu wali ma mandondo ya nazi,
Raha ule kiporo chake asubuhi lol!MIA