mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,980
- 3,866
Mdau kawasilisha tu yake, bila shaka ni mmoja kati ya wengi katika jamii zetu.Sasa umeulizwa? Umeulizwa🙄
😁😁😁 Hatimaye baba yake umejitokezaDuhh hebu kuwa na akiba ya maneno, sio kila kitu uje kuanika humu kijana 😳
hebu muache kijana atoe ya moyoni,,, hauwezi jua leo ameamka na machungu yapi😪Duhh hebu kuwa na akiba ya maneno, sio kila kitu uje kuanika humu kijana 😳
Punguza kutoa ushauri ambao hujaombwa 😊Kingine muhimu zaidi ni kutambua kuwa yote tufanyayo maishani finali ipo uzeeni kama tukifika uzeeni.
na wew ndo ujiite majina ya contraceptive pills🤭🤭😅😅 why lakin😁😁😁 Hatimaye baba yake umejitokeza
Na we mke wangu wa nje hujakaa mbali😁😁😁 Hatimaye baba yake umejitokeza
Kijana anakuelewa taratibuuu😁hebu muache kijana atoe ya moyoni,,, hauwezi jua leo ameamka na machungu yapi😪
kama niko hapa kukusikiliza bila kukujudge wala kukufikilia vibaya,,, pole sana kwa maumivu ila mi sijaona hiyo sumu ya mke wa mtu nieleweshe taratibu😊🤗
kwahiyo watu mnandoa humu na hamsemi😥🤐🤠Na we mke wangu wa nje hujakaa mbali
Sasa mtu asimuone mme wake akafurahia jamani😆kwahiyo watu mnandoa humu na hamsemi😥🤐🤠
na wew ndo ujiite majina ya contraceptive pills🤭🤭😅😅 why lakin
kwa mweli😅,, jana ametoka kulia anateswa na mapenzi, leo kakumbuka ufilauni wa mshua na makando kando yake,, tumfarijiKijana anakuelewa taratibuuu😁
Acha kumsimanga baba yako...kama vipi ungejileta mwenyewe duniani....Nakumbuka baba alivyokataa kunisomesha, ila aliweza kuhudumia wake za watu. Baba alikuwa na jeuri, sana alinitishia kuwa hataye hakusoma ila mama alimwacha kisa tabia zake.
Hata baba hakujenga alibakia kwenye nyumba ya urithi yaani makuti, na venye baba alivyotesa enzi hizo uchagani na kahawa ila aliambulia kwenye uhuni.
Nimepambana na kumjengea nyumba, sikuamua kulipa kwa mabaya, nilitenda mema ila sasa hivi hao waliokula naye hawapo naye. Sasa hivi baba hajiwezi mimi ndio ninayemhudumia.
Mke wa mtu sumu, yaani hayo maisha yamenifanya nikaogopa mwanamke. Bora tu niwe mseja maana unapendwa ukiwa na nguvu, zikiisha we ni tambara bovu.
Daaaah 🤣Na we mke wangu wa nje hujakaa mbali