Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi ndo uyo mi enyewe aya yalishanikumbuka nkaachwa get alikuwa mara yake ya kwanza anaogopa Amalia Sana na kwa Hurruma yang nampenda nikuwa naon uchungu Sana na chozi lake Ila namshukuru mungu tulijipingaga upya Hawani nyingine[emoji39][emoji39][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Una tabu wewe. Wanaume wakutafutwa jf wapi hao? Halafu ngoja nikwambie kitu siyo kila mtu yupo jf kutafuta bwana. Wanaume wenyewe ndiyo kama wewe??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]bora nife.
Sasa kama akili zako zinakuambia kila anayecomment jf anatafuta bwana unataka nijutie kukuita fala? Trust me unastahili hilo jina.
 
Wadada wengi wana kihoro!![emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]inatokana mguu Mimi Nina mpenz wqngu uko Tanzania nimemgaramia za kutosha na mapenzi bado Kila mtu hapati mda na bado tunapendana Sana. Kama mtu ukimpenda moyoni hakika utamuona kama ndugu kwa upendo
Unaeza toa kwa dem hata mamilion lkn kama unapata kifuta jasho, huoni hasara, lkn unaeza toa hata jero lkn kutokana na uzinguliwa ikakuuma sana..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…