Gooood[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Upo nje ya mada, hebu acha kujaza server kama huna cha kushauri ruka uzi, kila mtu ana choices zake kwenye mavazi sasa ni vibaya kukosoa, ulitaka akufarahishe wewe kwani wewe ni nani kwake, wewe kama hupendi wapo wenzako wanaopenda uvaaji wa vazi in question.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo mbivu zilipo, mbichi tuwaachie wengine...Nilitaka kushtuka kidogo.
Mkuu hilo vazi linakufaa kabisa kwa umri wako na bado ni la kisasa kabisa.
😀😀😀😀😀😀 kuna mambo mengine hata unashindwa kushangaa eti efu50Eti analalamika alikatika kama elf 50 (yaani kwa mchanganuo wa Kununua simu, Lotion, na pocket money) sasa kwa mgawanyo upi, na hiyo simu ya bei gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke wa sampuli hii unaweza juwa maisha anayoishi na mahala anapokaa hususani mwanamke mwenye utulivu zero na mropokaji, matuai kwake ni fasta, eti falaa nimemshangaa sana, ana stress sana nimeona nisibishane nae asinitafutie ban, eti hana cha kushauri amelazimika kujadili vazi la mwanaume kwani ni lazima aseme kwamba ni sheria sasa kila uzi uandike kitu, ana ujinga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unasema kwamba hizi ndiyo unavaa?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1000972
Naunga mkono hoja,mleta thread fanyia kazi huu ushauri ili usionekane mbinafsi!!Nilichogundua wewe ni mbinafsi...sasa kwanini umeweka picha yako tu?
Weka na ya kwake ukiambatanisha na number yake ya simu wadau wakamkanye aache tabia ya kuwasiliana na wanaume wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji120][emoji120][emoji120]Eti nikajipanga ili japo nipate cha kifutia jasho hahahaha, ila lalamiko lako linakera sana, sujawahi ona mwanaume akahudumia na akose hata kiuna mgongo kwako imekua tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo naona hiyo ndo best pic yake, kila uzi anaiweka. Anajiona anauza mwenyewe[emoji23]
Kazi kweli kweli
the Legend☆
Mawazo ya mtu yaheshimiwe..Usitake kujua upande wa pili wa mtu, usinitafutie ban isiyo na ulazima tena haswa kwa kimwanamke uchwara kama wewe unae tafuta attention kwa wanaume humu...jiheshimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo unavaa popote mkuu hata kwenye harusi kama siyo mshehereshaji.
Huyo jamaa labda alikuwa flower boy kwenye harusi au "densa".
Sawa mkuu naacha.Yaishe, nikiongea naweza kuwa useless na mm.
But nikwambie kitu kimoja Doll,
Jitahid kuwa focused na inshu ambazo zitakufanya wew ku gain something.
Wachana na mambo ya kushauri na kukosoa sanaaa, you're not better enough.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu naacha.
Ila swala la mtu kuniambia kwamba kama sina cha kushauri niache. Angeweza pia kunyamaza maana yeye sio mtoa mada! Kama yeye anavyotaka niache pia na yeye angeweza kuacha kuniambia pia.
Kwanza yeye ndiyo wakwanza kuni quote na nikamjibu ndiyo akaja na hiyo comment yake.
Angeweza pia kunyamaza.
Kila mtu hapa anachangamsha genge pengine hata mtoa mada ndicho anachokifanya..na wewe ukiniambia nakosea kukosoa na wewe ndicho unachokifanya hapa kwenye huu Uzi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilichogundua wewe ni mbinafsi...sasa kwanini umeweka picha yako tu?
Weka na ya kwake ukiambatanisha na number yake ya simu wadau wakamkanye aache tabia ya kuwasiliana na wanaume wengine
[emoji849][emoji849][emoji849]Fala siyo tusi mkuu . kwa kingereza wanasema "useless" sema kwa kiswahili lina makali.
Hivi kwenye huu Uzi ananiambia nimshauri mtoa mada, kuhusu nini sasa?
Maana mambo ninayoona ya kujadili ni mawili.
1: mwandiko wake
2: picha yake (kwa sababu kaiatach ili tuijadili).
Sasa mimi nimeamua kubase kwenye picha kosa langu ni nini?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji42][emoji42][emoji42]( xi ndo nini? Xion 7bu!?? ) yani hii ndo lugha ipi apa tanzania. We ni mvulana tena wa lumumba kule..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kweli hawa si ndiyo wakina slay queen, kazi ni kutafua attentions maana sioni kama ni sheria lazima kila uzi mtu utie coment sasa haka kanijiita baby doll anamkejeri jamaa mavazi yake unajua ni ujinga sana, kazi ni kutafuta attention ili vijana wakurupuke waende pm huko ni ujinga nimeona nisikae kimya nimpe muongozo ingawa nimeambulia matusi nmegundua ni stress za kukosa bwanaTatizo la tutoto twa siku hizi, tunajiona tupo sahihi muda wote, hata kakikosea hakatak kuambiwa
Mwisho wa siku utakasikia..
"I believe in me."
Pumbavu, mtapata tabu sana, sumbua humu JF pekee kwenye fake ID, nje kanaufyata mdomo.
Na kanajiona kwenye mapenz hakana bahati.
Sent using Jamii Forums mobile app