Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Shida yako umeangalia mtu na siyo vazi.
Hiyo picha ni ya Google na nyingi ni watu weupe wameachia zao
Upo nje ya mada, hebu acha kujaza server kama huna cha kushauri ruka uzi, kila mtu ana choices zake kwenye mavazi sasa ni vibaya kukosoa, ulitaka akufarahishe wewe kwani wewe ni nani kwake, wewe kama hupendi wapo wenzako wanaopenda uvaaji wa vazi in question.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuwa mtt haishabihian na swala la kua na hofisi za kazi hata kuna wavivu waliokwisha kuwa watu wazima..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe fala nini. Hebu nitokee hapa.
Kwamba kwenye huu uzi ulitaka nijadili nini?
Chutama huko.[emoji41][emoji41]
 
Wewe fala nini. Hebu nitokee hapa.
Kwamba kwenye huu uzi ulitaka nijadili nini?
Chutama huko.[emoji41][emoji41]
Usitake kujua upande wa pili wa mtu, usinitafutie ban isiyo na ulazima tena haswa kwa kimwanamke uchwara kama wewe unae tafuta attention kwa wanaume humu...jiheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…