Mimi nampiga sound je?

Mamaaaaaaaaa...aibuuuuuu...mwanaume unataka kuhongwa? unapenda kuhongwa? mungu wangu eeeeeeehhhhh....kiruuuuu kiru kiru....dah
 
Tulia mkuu piga msuli zamu yako ya kuzikamata ikifika utazimata mpk utazichoka mwenyewe.
Tambua kuwa akikutolea nje utakuwa na wakati mgumu sana ki-physchology,hatimaye hata chuo unaweza kudisco sasa..
 
Usishindane na msichana pedejee atamhonga noah,wanangu wa old moshi someni mtatoboa-By Roma
 
Maisha angalia yako usiangalie ya mwenzako.

Kuwa makini nae sana
 
Ovyoo unanyota ya samaki unateleza mtokee uone km utamuona
 

uroho tu
 

kumbuka hutakua na maamuzi. wew kaolewe tu.
 
Hivi kwa akili yako ndogo unaamini amefanikiwa hivyo kwa struggle ya kawaida?? Huyo ni mwanamke na anajua kuutumia mwili wake kujikwamua kimaisha. Unahongwa hela aliyopewa na mwanamme mwenzio halafu unamsifia na kujiona unapendwa!! Nenda kichwa kichwa wanaomgaramia wanakusubiri wakuchomoe firigisi kama sio tezi dume!!
 
Wewe sio wa kwanza kutamani pesa ya mwanamke,kuna msururu wa wanaume wasio na aibu kama wewe!!Sasa utakua na tofauti gani na kaka poa?

We hupendi pesa kama unazichukia nitumie zote ulizo nazo
 
nenda polepole usikurupuke maadam kakuonga laaki mbili subiri aongeze yy mwenyewe atakuwa anakutoa out polepole dogo,usimtongoze mapema huyo ana mabwana zake sio kama hataki mabwana ila yupo nao kimasilahi kula pesa kwanza ngono badae

Kaka umetema point tupuuuuu ungekuwa mwanafunzi ningekupa 100% afu nakuandikia UMETISHAJE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…