Swahiba hili janja la jamii sio la jamaa tena ... Yani huyu anataka achimbwe dawa kwa kweli me namuona tu
mamende watamvunja 'duka' uyo kijana msomi veri soon! shilingi zishaanza kukitekenya 'kitobo' chake.
mamamae walahi, ndo maana mwana FA aliwaonya vijana wasije mjini.
daaa eti demu rafiki angu kaishia form four kaja chuo kunisalimia ana usafiri wake na ana miliki maduka 3 ya nguo hapa Dar! Hana mchumba na anasema hawataki kabisa ila ana subiri mda ukifika apate mmoja tu wa kumzalia mtoto juz kati alivyo kuja chuo kuona maisha nayo ishi akanipa laki mbili na nusu na kuniahidi atakuja kunichukua next wikendi nikapaone anapo ishi ingawa kapanga! Inaniuma sana kuona mm bado naendelea kusoma afu demu kanipiga gape balaa! Nimesoma nae primary lakin hadi sahizi ni rafiki angu sasa hapa nipo mbioni kumtokea awe wangu kabisa je hio imekaaje? Demu ana pesa aisee nimeumia na kuona aibu leo ananipa hela ya matumizi daaa liwalo na liwe mm namtokea awe wangu kabisa
Habari anayo mbona
dada Manka, nikutakie usiku mwema mpendwa. mimi now kichwa kina hamu na godoro
Muda unaruhusu ni kusali na kuvuta shuka
Wanafunzi chuo wa udsm mnamatatizo...
mwaya wasikutishe bhana hawa wana-JF, wanakuonea gere tu. We vaa mawani ya mbao na earphone za bati ili usione wala kusikia la mtu umu, then go try ur luck and grab the bingo kirahisi bhana. Umu fitina nyingi brother, usiogope kijana wakati 'uchumi' unao unaukalia tu. Acha kushangaa, ilo ni zali baab'kubwa hata lile la Prof Jay likasome. Apo unatusua kilainiiiiiii kama vile kuokota wallet kwenye maandamano.
But please, kindly guarantee us with one thing: kwamba ikitokea 'TIGO' yako ikawa shortlisted na kugongwa logo, utuletee mrejesho.
-Kaveli-
Hahahaaaaaaa! Tatizo nyota hunaaa!
Hahahaaaaaaa! Tatizo nyota hunaaa!
Eti demu rafiki yangu kaishia form four kaja chuo kunisalimia ana usafiri wake na ana miliki maduka 3 ya nguo hapa Dar.
Hana mchumba na anasema hawataki kabisa ila ana subiri mda ukifika apate mmoja tu wa kumzalia mtoto juzi kati alivyo kuja chuo kuona maisha nayo ishi akanipa laki mbili na nusu na kuniahidi atakuja kunichukua next weekend nikapaone anapoishi ingawa kapanga.
Inaniuma sana kuona mimi bado naendelea kusoma halafu demu kanipiga gape balaa.
Nimesoma nae primary lakini hadi sasahizi ni rafiki angu sasa hapa nipo mbioni kumtokea awe wangu kabisa je hio imekaaje?
Demu ana pesa aisee nimeumia na kuona aibu leo ananipa hela ya matumizi daaa liwalo na liwe mimi namtokea awe wangu kabisa