Mimi nampiga sound je?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Eti demu rafiki yangu kaishia form four kaja chuo kunisalimia ana usafiri wake na ana miliki maduka 3 ya nguo hapa Dar.

Hana mchumba na anasema hawataki kabisa ila ana subiri mda ukifika apate mmoja tu wa kumzalia mtoto juzi kati alivyo kuja chuo kuona maisha nayo ishi akanipa laki mbili na nusu na kuniahidi atakuja kunichukua next weekend nikapaone anapoishi ingawa kapanga.

Inaniuma sana kuona mimi bado naendelea kusoma halafu demu kanipiga gape balaa.

Nimesoma nae primary lakini hadi sasahizi ni rafiki angu sasa hapa nipo mbioni kumtokea awe wangu kabisa je hio imekaaje?

Demu ana pesa aisee nimeumia na kuona aibu leo ananipa hela ya matumizi daaa liwalo na liwe mimi namtokea awe wangu kabisa.
 
unachotaka ni hela zake? usishindane na mwanamke, mwanamke sio mwenzio, hata hao unaomaliza nao chuo watafute baada ya miaka 2 uone kama mpo sawa. yey sio mjinga kusema hataki mtu anasubiri muda ufike atafute mtu amzalie. kifupi ni kwamba ANATUNZWA NA WANAOJUA KUTUNZA sasa wew jipeleke peleke, utaona mwisho wako
 
Take care mkuu, usione vyaelea tu jua vimeundwa na walio viunda wapo.
Jiulize hizo mali katoa wapi?

Alafu angalia sana unaweza kushusha heshima yako maana anaweza kua anakuheshimu sana ndio maana anakuja kukupa hi na hata pesa kukupa kwa kujua wewe huna kipato ila ukishamtokea na bahati mbaya akakataa uso wako utauweka wapi? Je unadhani urafiki wenu utaendelea? Ujasiri wa kumpigia utautoa wapi?
Una risk ya kupoteza rafiki kwa tamaa ya ngono watch out.

Hata mimi ni mwanaume ila hua kutongoza rafiki yangu ni sitaki maana akitoa nje utapoteza heshima na utapoteza rafiki
 
Umependa pesa zake mmmhhh namuonea huruma huyo dada maana utamfirisi duuuu unapenda kitonga kumbe mwanaume mbaya sana wewe
 
Umependa pesa zake mmmhhh namuonea huruma huyo dada maana utamfirisi duuuu unapenda kitonga kumbe mwanaume mbaya sana wewe

Shoga angu kwenye pesa..aende tu. M nahs watu muna allergy ya pesa. Duh..mie. uuuwiiih faster mtokeee
 
Usione vyaelea ujue vimeundwa lakini hapo hapo unaambiwa uoga wako ndiyo umasikini wako.
Siyo kama hawataki kabisa sema yupo anayemtunza ndiyo maana kaona hana haja ya kujiharibia. Kitu kingine mwanamke anaweza kuwezeshwa wakati wowote ule na akakuacha mbali kimaendeleo.
 
kwa hiyo wewe ulidhani kuwa kufeli shule na kuishia form 4 ndo KUFELI MAISHA eeh? acha kukariri. LIFE has no formula. BTW... huyo ni mwanamke, anatembea na 'mgodi' muda wote, na 'wachimbaji' wanaojua kuhudumia/kugharamia wapo kede kede apa mjini.

Sasa wew na njaa zako kurupuka kuuvamia msitu kwa kiwembe then utazimia na roho yako.

Alafu hizi tamaa-mbuzi zenu eti kisa ugumu wa maisha chuoni, walahi ipo siku mtakuja kulishwa inzi wa chooni au kut.omba moto.

-Kaveli-
 
Shoga angu kwenye pesa..aende tu. M nahs watu muna allergy ya pesa. Duh..mie. uuuwiiih faster mtokeee

Huyo mwanaume anaacha atafute zake anasubiri kuhongwa atapigwa mashine na mwenye kiwanda Kaveli ameelewa hapa
 
Last edited by a moderator:
mmmmh unataka ela tu????

si hili hili mnasemaga wanawake wanawapendea pesa mbona kwenu ni tofauti namna hii
 
Huyo mwanaume anaacha atafute zake anasubiri kuhongwa atapigwa mashine na mwenye kiwanda Kaveli ameelewa hapa

Truth be told dada'ake. This is why nau-deiz apa town vijana wenzetu wengi wanachezeshwa 'mugongo mugongo' kwa tamaa zao za kiduwanzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…