Mimi na wewe...

Leo asubuhi nilikua nafikiria kitu nikajikuta naangalia mahusiano na ndoa kwa namna ambayo sikuwahi kabla. Mimi na wewe ni kama vipande vya puzzle ....you've got your share and I have got mine.Ukiviweka pamoja either unapata picha/umbo kamili ama hupati.

images
kila mmoja ana shape na size tofauti.Inapotokea wewe kama puzzle umemchagua mtu ambae yeye kama puzzle hana shape zinazoendana na vipande ulivyonavyo ndipo matatizo na migongano inapoanza.Utajitahidi kunoa na kuongeza zile sehemu zisizofit vizuri kwako au kwake ila mwishoni unashangaa pamoja na jitihada zako zile sehemu zinapwaya na ukiendelea kulazimisha zinavunjika na kuvunjika.

So jambo la muhimu hapa ni kutafuta vile vipande ambavyo vinaendana na vyako_One that is complementary to yours....one that accomodates your needs.
images

Linapokuja swala la ndoa ndo kabisa umakini wa hali ya juu unahitajika.Hapa kinachofanyika ni kuvishikanisha vipande vyako na vya mwenzako kwa glue.Hata kama haviendani at first havitakua na jeuri juu ya glue....ila baada ya muda utashangaa huku kunameguka...na vikianguka tu vinavunjika vunjika.Ila kama vitakua vinaendana ni rahisi kustahimili mitikisiko na mianguko.Hata sehemu ikimeguka ni rahisi kuirudishia.Kwahiyo kuweni waangalifu....usichukue tu vipande ni vipande...
images
....bali tafuta vile vinavyokufaa!!

Mchana mwema!!

Its hard kupata unayeendana naye completely
 
Tat will contradict meaning of love,si ndiyo?i mean in love huwezi jizuia by giving equally kama unavyopewa wewe

Huwezi kujenga mahusiano na mtu asiyekupenda wewe kisa wewe unampenda. Ama mtu ambae ni kinyume na yale yote unayoamini/taka kisa tu unampenda. Mtu asiyekujali/kuheshimu/kuthamini kisa unampenda. Huo ndio mwanzo wa wewe kwenda kutafuta unayokosa nje.
 
Mapenzi full matatizo.@ times i just wish nisipende kabisa but ntachakachua mpaka lini?....aisee mbona upo macho this late?@ lizzy
 
Mapenzi full matatizo.@ times i just wish nisipende kabisa but ntachakachua mpaka lini?....aisee mbona upo macho this late?@ lizzy

Omba tu ubahatike kumpata yule atakaekufaa wewe na wewe umfae yeye.

Hehehehe mbona wewe upo macho?
 
Huwezi kujenga mahusiano na mtu asiyekupenda wewe kisa wewe unampenda. Ama mtu ambae ni kinyume na yale yote unayoamini/taka kisa tu unampenda. Mtu asiyekujali/kuheshimu/kuthamini kisa unampenda. Huo ndio mwanzo wa wewe kwenda kutafuta unayokosa nje.
lol.... this z sooo true .
kbs yan choosing a life partner sio ki2 kirahisi kama kinavyochukuliwa na zaidi ya kumpenda tuu.
atleast muwe mnaenda pia.
thou sijui yan mwanzon mnaweza mkawa ok mmh mkioana mambo yanavyobadilika mmh. hata cjui kwann.
 
Kuendana muhimu aiseee. . .
Unaweza ukampenda mtu na bado ukashindwa kuvumilia madudu yake.
 
unaweza kumpata mwenye configaration inayokuingia ila under uncontrolled reasons (like the way some mutants cells arise ) akamomonyoka .
The issue ni kukubaliana yaan hata ya mechi na matokea yatakoyatokea taking into consideration that you umecheza kufa/kupona kuokoa
 
Kuendana muhimu aiseee. . .
Unaweza ukampenda mtu na bado ukashindwa kuvumilia madudu yake.
kwa nini ujibebeshe mzigo wa kumpenda mtu aliyejaa madudu!!!!!!!!! the sooner you quit the longer u and happier u live
 
Back
Top Bottom