Mimi na upweke, upweke na mimi

Kuna ka ukweli hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Let me tell you something, pesa sio kila kitu,pesa haihusiani sana na personality ya mtu ,kwa upande wangu nikiwa na pesa hata nisipo kua nayo still I feel alone
 
Let me tell you something, pesa sio kila kitu,pesa haihusiani sana na personality ya mtu ,kwa upande wangu nikiwa na pesa hata nisipo kua nayo still I feel alone
Bas poleee sana.
 
Nenda hospitali uonane na wataalam wa saikolojia unaweza pata misaada,pombe sio solution. Ukiamka asubuhi unakua bado upo kwenye jela ile ile ya upweke ,jaribu pia kusoma vitabu kuhusu human psychology, behaviour nk kama ngeli inapanda .
 
 
Nami napitia hali hiyo hiyo, sielewi najaribu sana kuchange ila wapi kuna muda nikitaka kuwa na girlfriend nashindwa. Nafsi yangu inachoka sana.
 
Tumboni mwa mama yako ulikua peke yako.....
Kaburini utakuwa peke yako....
JAMBO LA MSINGI NI KUWA NA FURAHA NA NAMNA UNAVYOISHI..
kama una furaha haina shida kabisa kuwa peke yako
 
Kama furaha inadumu muda mfupi ni swala la kuhesabu muda tu na sekunde, ila namshukuru mungu walau napata furaha kwa kiasi chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…