Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,142
- 166,068
Lala na memory kadi.:caked:
jamanie swala la ndoto ni la kiimani zaidi na kwale wakristu wanajua historia za ndoto kwenye bible, ukweli ni kwamba kinachokusahaulisha ndoto ni mapepo na huwa tunapoteza baraka nyingi sana kupitia ndoto mimi nina ushuhuda wa kutosha kuna sala natumia tangu nianze kusali huwa naona mambo ya ukweli yani nikiota linatokea.na hata majaribu yote atakayetaka naweza kumpatia hiyo sala
kitu external drive kudadeki.He he he inonekana brain yako storage ndogo tafuta external brain yenye gb kubwa uweze kuzikumbuka ndoto