Mimi na mke wangu faizafoxy mweupe

Ushungi uko wapi? Watamfukuza kaka zake! Mmependeza lakini na kajitoto yenu, Ngoja dadaangu Farkhina akione katoto atafurahi sana!
 
Ushungi uko wapi? Watamfukuza kaka zake! Mmependeza lakini na kajitoto yenu, Ngoja dadaangu Farkhina akione katoto atafurahi sana!
Atavaa baadae Ushungi mdogo wangu farkhina njoo umuone wifi yako FaizaFoxy nimemzalisha katoto ka kiume kazuri hako njooo upesi u comment.
 
Last edited by a moderator:
kama una uwezo wa Kununua 10 Jitahid uzae watafika kumi na zaidi Ukitaka.
 
Hongereni sana MM na FF nadhani product zenu ni za ukweli maana hiyo mix mpaka mtoto kawa mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…