BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,102
- 14,024
Fumanizi ni two way traffic linamuumiza aliyefumania na aliyefumaniwa tulia nikupe mkasa wa kufumaniwa na mke wa mtu mama Vanesa sio jina halisi.
Toka nimeanza kujitegemea maisha hayajawi kuwa mepesi siku za furaha ni chache ukilinganisha na siku za stress, visanga na majuto mwaka 2022 katikati niliacha kazi kwa lengo la kupambana na harakati zangu approach niliyotumia haikuwa na busara kitu kilichopelekea watu wangu wa karibu kuwa disappointed na kwa bahati mbaya kile nilichoenda kufanya kikawa kimefeli sina chochote kimsingi inanipasa kuanza upya from zero kwa aibu ikabidi kurudisha mpira kwa kipa japo kishingo upande.
Wazazi tuwaombee sana imagine jitu la miaka 30+ ambaye inabidi niwe responsible kuwahudumia wazazi nipo nyumbani nahudumiwa na wazazi myself I'm not happy na aina hiyo ya maisha ila ndio hivyo nimesha chuma janga ndio nakula na wakwetu. Bahati nzuri baba anapigana napata connection ya internship kwenye kampuni fulani tumaini na mwanzo upya unazaliwa.
Inabidi nisafiri mpaka Mkoani Morogoro Kilombero kuanza majukumu yangu mapya napata mwenyeji wangu ambaye ni mdogo kwangu kiumri but full of energy and motivated kwa kumtazama tu unajua kabisa dogo ana kitu na atafika mbali unakuwa inspired una wish kuwa na fighting spirit kama yake lakini Kuna vijitabia vinakurudisha nyuma unajipa moyo we only live once kwa nini nitumie huu muda mchache duniani kujistress.
Kazi zinaanza vizuri kupitia guidance ya uliowakuta every week unaingiziwa posho yako sio kubwa kiasi hicho ila kwa sehemu kama Kilombero inatosha kuafford basic needs zako posho ikiingia tunachanga na mwenyeji wangu tunanunua mahitaji ya ndani kwa kifupi life was not that bad experience mpya ndani ya Kilombero that time niligundua tabia za wakazi Moro zinarelate sana na DSM ule uswahili na uongeaji kupenda vigoma.
Siku ya kwanza kukutana na mama Vanessa ilikuwa ni jioni nilimuaga mwenyeji wangu naenda kunyoosha miguu nikapita bar nikapiga bia kadhaa za kuchangamsha akili sikutaka mwenyeji wangu ajue mi ni mtu wa aina gani sikutaka ashtukie kama ni mtu wa vyombo Sasa wakati narudi nakutana na Mwanamke anaongea na simu nje ya nyumba kama ya tatu kutokea nyumba ambayo nimefikia japo kuna giza lakini kwa muonekano unajua kabisa hichi chombo akili za pombe bwana out of nowhere nikamshika kiuno akashtuka bila ya kuongea chochote nikaendelea na safari zangu.
Maisha yakaendelea mara kadhaa tukiwa tunaenda kazini ama kurudi tunakutana na yule Mwanamke hakuna cha zaidi ya salamu sasa mwenyeji wangu akasafiri Kuna harakati zake alikuwa anafuatilia so mimi nikabaki kama father house wa ghetto kuna siku natoka zangu dukani nakutana na yule Mwanamke nikamsalimia na kumuomba namba akanizingua kinyonge nikaendelea na harakati zangu kumbe Kuna jirani aliona lile tukio akaja kuwaambia wapangaji wa nyumba niliyofikia wanipe onyo kuwa yule ni mke wa mtu ni kweli onyo nilipewa mimi nikabaki nashangaa kumbe ni mke wa mtu hilo likapita.
Kuna siku nimetoka kupiga vyombo narudi zangu ghetto kama saa tatu usiku nakutana na mama Vanessa nikamsalimia nikarudia tena kumuomba namba bila hiyana akanipa nikamtumia sms na yeye akapata namba yangu mwanzo wa mapenzi na mke wa mtu yakaanza kwa speed ya sgr Kila muda sms na kupigiana simu mpaka nikawa na wasiwasi kuwa huyu hana mume kweli ama wananizingua how come tunaweza kupigiana simu mpaka late nights ananiita nje tunaenda kukiss nyuma ya nyumba waliyopanga.
Tukapendana kweli kimsingi alikuwa mzuri katika top three ya wanawake wazuri ambao nishakuwa nao maishani namba Moja Nampa yeye muonekano wake ni mrefu wastani, sio mnene wala mwembamba kabalance katikati, mweupe asili, mguu anao, shepu nzuri isiyo na kitambi wala manyama uzembe, kifua kizuri nyonyo la wastani na limesimama dede, sura nzuri muda wowote kama anatabasamu yule Mwanamke mzuri aisee Mimi mwenyewe tukiwa tunakulana napatwa na goosebumps yaani mshamba mimi ndio namwagia hapa usingeweza kuniambia chochote kuhusu yule Mwanamke nikakuelewa hata kama alikuwa mke wa mtu I was ready for circumstances.
Yeye binafsi hakuwahi kuniambia kama ni mke wa mtu mbaya zaidi sikuwahi kumuona mme wake binafsi nilikuwa nikisikia kwa watu wakisema ni mke wa mtu na nishawahi kumuuliza kinafiki kama ameolewa akanikatalia kuwa hajaolewa na aliwajia juu wale aliowahisi wananipa hizo taarifa ukatokea ugomvi wa kurushiana maneno na hao watu kisa mimi akiwaambia kuwa wanamharibia kwangu basi mpumbavu mimi nikajiona kama ndio nimefika.
Nilichokuja kunotice kwa kusikia ni kuwa mme wake alikuwa anamiliki chainsaw mara nyingi alikuwa maporini huko kukata miti na mbao ndio maana alikuwa na uhuru wa kupitiliza.
Siku ya fumanizi usiku kabla ya siku ya fumanizi nilimpigia mama Vanessa akapokea mwanaume sikuwaza mara mbili nikajua huyu mme wake nikakata nikapiga zangu usingizi asubuhi nikaamka nikaendelea na harakati za kujenga taifa mama Vanessa ananitumia sms kuniomba msamaha kuwa kaka yake ndiye alipokea simu kwa jinsi nilivyomuelewa hata angeniambia mme wake nisingekuwa na noma yake kabisa.
Jioni nimerudi nipo zangu ghetto naperuzi huku na chati na mama Vanessa ananiambia anataka kuja kuniona Mimi nikamwambia why not njoo tu kama dk 5 mama Vanessa ndani ya nyumba ile ameingia nimemdaka nakuanza mchezo wetu nje nasikia sauti ya kiume ikiita kwa hasira mama Vanessa toka nje bro fumanizi endelea kuliona kwenye maigizo au taarifa ya habari usiombe ukutane nalo mimi mwenyewe hiyo experience sitaki ijurudie kwenye maisha yangu ever ni jambo baya la aibu kuwahi kunikuta maishani.
Ngoja nikupe ramani ya nyumba fumanizi ilipotokea nyumba Ina vyumba vitano na geti mhuni alimuona mke wake akiingia getini lakini hajui ameingia chumba gani kwa kiwango fulani ilipunguza maafa jamaa anafoka mama Vanessa nimekuona umeingia ndani toka haraka na huyo mpumbavu mwenzako kabla sijakuumiza nikaona huu msala nikafungua mlango nikamsukuma yule Mwanamke nje nakujifungia ndani nikasikia nje Mwanamke anapokelewa kwa kipigo heavy japo baadae aliniambia na yeye alikuwa anapigana Kuna sehemu alimshika
Sasa Mimi nipo ndani jamaa kaja kugonga nitoke bahati nzuri mlango ulikuwa imara usingeweza kuvunjika kirahisi nje nasikia kelele kibao means kijiji tayari kimeshajaa kuja kushuhudia fumanizi mara nasikia wanajadili kuenda kwa mwenyekiti waende naye kwa motherhouse wapewe funguo za ziada ama wavunje kitasa.
Mimi ndani sielewi mara nijifiche chini ya uvungu roho nyingine inaniambia pambana baba uliyataka mwenyewe nikafika azimio mlango sifungui Incase wakifungua kwa nje atakayenigusa na Mimi lazima nireact hata kama nina makosa siwezi kwenda down kizembe mkononi nina kiwembe najijua sina nguvu za kupambana one against one ila atakayenigusa lazima nimuachie kovu la kiwembe najua shughuli ya kiwembe isivyokuwa na huruma.
Mtu ambaye alinisave mimi kwenye ule msala ni baba mwenye nyumba wao alikuwa ananijua vizuri ukoo wetu akaja mlangoni kuniita babamorgan babamorgan nikala buyu nikasikia anamchukua jamaa wanaongea huku wanaondoka tukio lilitokea saa moja za jioni mimi ndani sikutoka mpaka saa sita usiku nilipojihakikishia nje hamna mtu nikakusanya kilicho changu nikakabidhi funguo kwa jirani nakuanza safari.
Muda ni saa sita usiku hakuna gari za kwenda town nikaenda kulala gesti mtaa mwingine kichwani nawaza nawaambiaje home hichi kilichonikuta vipi kuhusu kazi inakuwaje.
Siku iliyofuata nikawasiliana na mwenyeji wangu kumpa taarifa nilipoacha funguo zake kumbe wambeya washafikisha taarifa kujikosha ikabidi nimwambie sikujua kama ni mke wa mtu akaniambia brother umezingua
Mama Vanesa aliachika na kurudi kwao lakini tukaendelea kuwasiliana akapanga kuja kunitembelea DSM katika yote upande wake sikuwahi kuona hakijutia kilichotokea na siku ile nasikia vishindo vya vipigo nje anadai na yeye alikuwa akirudisha vipigo kwa mumewe
Nilipoteza contacts zake nimebaki na picha yake ambayo ipo kwenye back up za google photos kama ukumbusho wake na moments tulizopitia pamoja.