Mimi Mwanakijiji ameongopa?

Mimi Mwanakijiji ameongopa?

kwa kauli yako hakuna mtu aliye paswa kurusha matokeo kwani jukumu hilo ni tume hivyo ktk dunia ya sasa tuendelee kuisubiri tume ili hali watu wanaweza kufanya hesabu haraka sana kwa msaada wa utandawazi

fikiri upya mkuu hakuna kosa hapo
 
matokeo rasmi mpaka sasa [TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent"]TOTAL [/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"] CHADEMA 11,485
[/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"] CCM 6,468 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"][/TD]

NI MATOKEO YA VITUO 97 KATI YA 327! na HAYA ETI NDIO YAMEMFANYA Mimi Mwanakijiji kutangaza chadema imeshinda
 
Mkuu ina maana vituo vingine havijamaliza kuhesabu? Hayo ni matokeo RASMI ya tume ila watu wana matokeo yao ambayo ni majumuisho toka vituoni. Hayo hayatakuwa tofauti saaaana na.matokeo rasmi yatakayotangazwa na Tume. Tume iinakusanya matokeo toka vituoni yakiwa na masanduku na kuyajumuisha. Hadi sasa matokeo toka kata ya Mbuguni hayajafika kwenye kituo cha majumuisho lakini haina maana kwamba watu hawana hayo matokeo.
 
Yaelekea umeshiba pesa za kifisadi sasa umelewa shibe.Hata kama kusoma hujui basi hata kuona huoni wala kusikia usikii!!!!!!!!!!! Kalaghabao na ulozi wako.
 
matokeo rasmi mpaka sasa [TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent"]TOTAL
[/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"] CHADEMA 11,485

[/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"] CCM 6,468
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"][/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"][/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

NI MATOKEO YA VITUO 97 KATI YA 327! na HAYA ETI NDIO YAMEMFANYA Mimi Mwanakijiji kutangaza chadema imeshinda

Subiri ya kwako yatakapotangazwa utasherehekea!
 
matokeo rasmi mpaka sasa [TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent"]TOTAL [/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"] CHADEMA 11,485
[/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"] CCM 6,468 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"][/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"][/TD]
[TD="class: cms_table_xl68, bgcolor: transparent, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

NI MATOKEO YA VITUO 97 KATI YA 327! na HAYA ETI NDIO YAMEMFANYA Mimi Mwanakijiji kutangaza chadema imeshinda
Kazi imeshakamilika. Hayo ni matokeo ya vituo 97. Kwa sasa ni vyote. Subiri, hata CCM kama wameshinda ama wameshindwa nao wanajua.
 
Hata kwa simu matokeo yanaweza kupatikana. Watu wanaweza kujipanga na kupata matokeo bila shida. Hizi sio zile zama za kale watu wanaleta matokeo kwa miguu!!!
 
kitendo cha Mimi Mwanakijiji kutangaza kuwa cdm imeshinda Arumeru kinaweza kikamghalimu kwani ametoa madai yake basing on few counted centres wakati vituo ambavyo mpaka sasa vimeshapokelewa matokeo yake havizidi hata MIA wakati jumla ya vituo vyote ni 327 na watu waliojiandikisha ni zaidi ya laki moja! kwahiyo kuitangaza cdm washindi kwa kura elfu 19 ambazo mpaka sasa imepata wakati bado kuna maelfu ya kura bado kujumlishwa kunaweza kumghalimu kwani huo ni uongo na kuingilia kazi ya tume ya uchaguzi
Wacha kujichanganya wewe kazi ya tume ni ku-compile kutoka vituo, sasa kama tumepata matokeo ya vituo vyote tuogope nini tena kusema ukweli?
 
[h=6]Moja ya Usiku Mzuri sana kwenye Historia ya chama chetu. Tumeshinda Madiwani mikoa yote nyeti na zaidi tumeshinda Ubunge Arumeru. Hakuna raha kwenye siasa kama kuongeza Mbunge katikati ya kipindi cha Bunge. Twamshukuru mola. Hongera viongozi wenzangu na wanachama wetu na watanzania kwa ujumla kwa kutupa nguvu. Its a 'snow ball effect' ! Watch our steps from F/B mH ZITTO[/h]
 
natamani nimsikie Lusinde a.k.a kibajaji. Tunamshukuru sana kwa sera zake alizotoa ktk kata ya makiba, Mh. Lusinde utuuficha wapi uso wako????? CDM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!! NGUVU YA UMMA JUUUU SANAAAAAAAAAAA. Mh Lusinde hiyo ni nguvu ya uma siyo ya viroba kama ulivyodai.
 
kitendo cha Mimi Mwanakijiji kutangaza kuwa cdm imeshinda Arumeru kinaweza kikamghalimu kwani ametoa madai yake basing on few counted centres wakati vituo ambavyo mpaka sasa vimeshapokelewa matokeo yake havizidi hata MIA wakati jumla ya vituo vyote ni 327 na watu waliojiandikisha ni zaidi ya laki moja! kwahiyo kuitangaza cdm washindi kwa kura elfu 19 ambazo mpaka sasa imepata wakati bado kuna maelfu ya kura bado kujumlishwa kunaweza kumghalimu kwani huo ni uongo na kuingilia kazi ya tume ya uchaguzi

Bado humwamini MMM ?
Mida imeenda tangaza rasmi kuwa ulichokiandika hukijui kwa sababu wewe una akili nyingi kama za Lusinde
 
Mkuu,upeo wako si zaidi ya pua yako!
Nani alikwambia watu wote walio jiandikisha wamepiga kura?
Uje na facts,si hisia kupinga tweets za ZZK,MM na thread zngne zinazo zidi kumiminika hum.
kitendo cha Mimi Mwanakijiji kutangaza kuwa cdm imeshinda Arumeru kinaweza kikamghalimu kwani ametoa madai yake basing on few counted centres wakati vituo ambavyo mpaka sasa vimeshapokelewa matokeo yake havizidi hata MIA wakati jumla ya vituo vyote ni 327 na watu waliojiandikisha ni zaidi ya laki moja! kwahiyo kuitangaza cdm washindi kwa kura elfu 19 ambazo mpaka sasa imepata wakati bado kuna maelfu ya kura bado kujumlishwa kunaweza kumghalimu kwani huo ni uongo na kuingilia kazi ya tume ya uchaguzi
 
kitendo cha Mimi Mwanakijiji kutangaza kuwa cdm imeshinda Arumeru kinaweza kikamghalimu kwani ametoa madai yake basing on few counted centres wakati vituo ambavyo mpaka sasa vimeshapokelewa matokeo yake havizidi hata MIA wakati jumla ya vituo vyote ni 327 na watu waliojiandikisha ni zaidi ya laki moja! kwahiyo kuitangaza cdm washindi kwa kura elfu 19 ambazo mpaka sasa imepata wakati bado kuna maelfu ya kura bado kujumlishwa kunaweza kumghalimu kwani huo ni uongo na kuingilia kazi ya tume ya uchaguzi

Wapumbavu wana udhaifu wa kutumia akili! Pole sana
 
Mkuu hii ndio JF kama hujaizoea basi kaa tulia na acha kuropoka sisi tumeshaizoea tayari sawa??
 
kitendo cha Mimi Mwanakijiji kutangaza kuwa cdm imeshinda Arumeru kinaweza kikamghalimu kwani ametoa madai yake basing on few counted centres wakati vituo ambavyo mpaka sasa vimeshapokelewa matokeo yake havizidi hata MIA wakati jumla ya vituo vyote ni 327 na watu waliojiandikisha ni zaidi ya laki moja! kwahiyo kuitangaza cdm washindi kwa kura elfu 19 ambazo mpaka sasa imepata wakati bado kuna maelfu ya kura bado kujumlishwa kunaweza kumghalimu kwani huo ni uongo na kuingilia kazi ya tume ya buchaguzi
inaonekana huko kwenye shule zenu somo la msingi lilikuwa ENGLISH tu, hakuna math's huko
 
Back
Top Bottom