Mimi mgeni

Mimi mgeni

Mimi mgeni ndio nimejiunga leo sielewi chochote tunaitumiaje jf humu

we mgeni!? ...... kwani nani kakukaribisha hapa? ........yaani unaingia kwa kupitia dirishani alafu unadai mgeni

:fear:...... Ngoja nifunge mlango utanieleza!!
 
........Usiogopwe mpendwa karibu thaaana,........ maadam ushaingia zama jamii-rules!
 
Kweli we mgeni,maana umepotea umetumia njia ya chooni via dirishani kuja sebuleni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom