Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 532
- 1,036
Habari wakuu, mm n mgeni humu naomba mnikaribishee...
Sawaa mkuu...karibuuu, Mm ndio mmiliki wa hili jukwaaa, ukiwa na shida usisite kunifuata pm
Shukraani sn..Karibuuuuu
Kasichana auHabari wakuu, mm n mgeni humu naomba mnikaribishee...
Kama ni ke ni PM nikupe ujanja wa humu.Habari wakuu, mm n mgeni humu naomba mnikaribishee...
Habari wakuu, mm n mgeni humu naomba mnikaribishee...
Haaahaah mkuu unapenda vimanzi eenhKasichana au
Asante sn..Karibo
Kama ni ke ni PM nikupe ujanja wa humu.
Kama ni ME ujue umeingia sipo. Rudi fb ulikotoka

nipe hayo maujanjaShukraani snKaribu sana
Wewe ni K au meenipe hayo maujanja
Shukraani sn babuKaribu sana JF mjukuu wetu hapa GT.