jaman naomben kukaribishwa na watu wa humu mm ni mgeni humu jf
Karibu Karibu, wewe ni ME au ni KE? na je umeshaoa? humu ndani kuna ndoa za watu anaglia usije kuvunja na kuna mabinti na vijana waadilifu unaweza kubahatika
jaman naomben kukaribishwa na watu wa humu mm ni mgeni humu jf
thanx all of u kwa kunikaribisha mm ni mwanaume jamani
mupenziiii....
Ukiona hivyo ujue watu washaulizia kali kaka.unataka kusema nini? umetumiwa pm au?. mia
Yes darling my sweetheart, mume wangu kipenzi
Nilikuwa nakuita darling ujongee tu karibu tumkaribishe mgeni huyu kwa pamoja....