Jamani naitwa Samiah nimejisajili cku si nyingi huku ila hata sielewi naona watu mnajuana ila cjui mnajuana vipi je kuna ku follow na kufollow back or?😕
Hivi wewe ni ME' au KE'
Hivi wewe ni ME' au KE'
Karibu sana mkuu.
Hapa umefika.
seen and verified
Copy kwa Marry Hunbig
Amefika wapi?