Mimi mgeni hapa

comrade_kipepe

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Messages
2,561
Points
2,000
comrade_kipepe

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2019
2,561 2,000
karibu jesse
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
5,880
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
5,880 1,995
Karibu sana jesse huyo kwenye avatar ndio wewe tuanzie hapo kwanza
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
5,880
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
5,880 1,995
ndiye mi nipo spain nalikuja tanzania nikafunza swahili
Aha ok ok nyie ndio makaburu hee😁😁😁😁😁 karibu sana dona county habari za Ufaransa
Niambie ni nini kilikuvutia hadi ukajiunga jf dare talk ?
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
5,880
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
5,880 1,995
Jamii mtandao ya tanzania
Naam tutalajie ku share experience btn you & us kwa jamii yetu ili isonge mbele katika nyanja mbalimbali kama uchumi ,elimu , teknolojia, biashara na viwanda
 
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
32,266
Points
2,000
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
32,266 2,000
Karibu Boss
 
comrade_kipepe

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Messages
2,561
Points
2,000
comrade_kipepe

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2019
2,561 2,000
wewe mzungu kweli au albino
 
Indoraptor

Indoraptor

Member
Joined
Aug 30, 2019
Messages
47
Points
125
Indoraptor

Indoraptor

Member
Joined Aug 30, 2019
47 125
Siku hizi foreigners si haba JF, tuna mchina, mfaransa na sasa mhispania
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
5,880
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
5,880 1,995
ndiyo nafika tanzania kwa mda wa mwaka huu napenda swahili
Mkuu ulishawai fikiria kwanini wewe ni rahisi kuja Tanzania kujifunza kiswahili kuliko mimi kwenda Ufaransa nami kujifunza kifaransa hapo hiyo kozi hipo hata vituoni nisaidie kwa hili
 

Forum statistics

Threads 1,334,886
Members 512,157
Posts 32,489,890
Top