kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 536
- 397
Mimi mgeni naomba ushirkiano wenu.
Mpira wa miguuKaribu member. Huwa unapendelea nini
Ukiwa uwanjani unaupiga mwingi kama mama au unabutua butua tu?
Ooh, safi sana! Utapata wenzako humu maana wapenda mpira ndio wengi humu
Nabutua butua...Ukiwa uwanjani unaupiga mwingi kama mama au unabutua butua tu?
Ha haaaaa.....kipenyo huyo.Mgeni gani una
1. SMS 224?
2. Points 225?
Na mgeni gani umejiunga May 28, 2018?