MIMI LEO SIJAMWELEWA KIPANYA

Kujivika kitanzi mwemyewe,
(Kujiua bila kujua),

Wakuu,
Ninahoja kidogo,
Humu kuna maada ilishawahi kuzungumziwa kuhusu twiga kutumika kama logo na mikosi yake,

Huenda yumo humu ndani na huenda akawa member mkongwe.

Ni maoni yangu tu lakini jamani.
 
Ardhi kame, Haina maji wala majani, twiga anaishi sehemu zenye majani, hapo hata akipewa majani ataishia kutafuna tu hawezi kumeza, twiga anabaki dhoofu hali, haya fananisha kwa hali ya tz ya sasa
 
Imempata yeye na kizazi chake milele yote!
 
Ardhi kame, Haina maji wala majani, twiga anaishi sehemu zenye majani, hapo hata akipewa majani ataishia kutafuna tu hawezi kumeza, twiga anabaki dhoofu hali, haya fananisha kwa hali ya tz ya sasa
Ukiwa baharini kwenye mashua hali ya upepo ikibadilika na wewe unafanya adjustment ili upepo usije ukapindua mashua yako. Hulalaimiki kwanini upepop umebadilika. Kwa hii kuna wanaojitengenezea njia nyingine za kiuchumi tofauti ya zile zilizozoeleka.. Na kuna wale waliobaki kulalama kwa kudhani ulalamishi una badilisha upepo.. Bro Magufuli will be here till 2025. Sasa hii miaka 8 utabaki unalalamika hivi au utafanya adjustment ili mashua yako iweze kwenda sambamba na mawimbi. The fate is on your hand..πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…