Mimi kada wa CCM najitoa hadharani, namuunga mkono Zitto 'Kabwe

Mimi kada wa CCM najitoa hadharani, namuunga mkono Zitto 'Kabwe

Xperience

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
278
Reaction score
51
Hivi hii ni nini. Kuna namna nimeona kura za maoni CCM zilipopigwa. Je system ya UKAWA na CCM zinakwendaje waungwana. Kama mgombea anapigiwa kura elfu kadhaa na wakati huku kwetu tunasema uchaguzi wa ndani Je tutatokana na hii CCM.

Nimepiga hesabu 25000 mara majimbo 256 ni zaidii ya miliion tano huoni CCM ina mtaji mkubwa hata hivyo tuseme kati ya wapiga kura milioni 25 watakaoandikishwa waliiobaki na wa UKAWA na CHADEMA, NCCR-Mageuzi, CUF na NLD wataipigia kura UKAWA na team Lowassa. Je, ni kweli?
 
Kwa hiyo ?ccm na ACT zinaelekea alipokwenda Komba mwaka huu
 
CCM wanaopiga kura za maoni ni wanachama wote walio hai mkuu. CHADEMA inapigiwa kura na wajumbe wa chama, sio wanachadema wote
 
Hivi hii ni nini. Kuna namna nimeona kura za maoni ccm zilipopigwa. Je system ya ukawa na ccm zinakwendaje waungwana. Kama mgombea anapigiwa kura elfu kadhaa na wakati huku kwetu tunasema uchaguzi wa ndani je tutatokana na hii ccm. Nimepiga hesabu 25000 mara majimbo 256 ni zaidii ya miliion tano huoni ccm ina mtaji mkubwa hata hivyo tuseme kati ya wapiga kura milioni 25 watakaoandikishwa waliiobaki na wa ukawa na chadema nccr cuf na nld wataipigia kura ukawa na team lowassa. Je ni kweli?

Who's Zitto Kabwe anyway? People are talking about Lowassa/Magufuli. You bring Zitto. Shame on you !!
 
kwenye kura za maon za ccm kuna vichekesho mfano watu wamelazmishwa kupewa kad kwa elfu tano tano tu,,,kiukweli uchaguz wa tz una mambo ya ajabu xana ambayo ckuwah kuyaona kabisa....ndo maana wengne hawawez kuongea hata hoja moja ktk bunge
 
kibaraka wenu huyo so unahaki ya kumfuata
 
Uelewa wako wa siasa ni mdogo sana.!!

Ccm wanapiga kura za maoni kwa kutumia wanachama wao kwenye majimbo wanayoishi. Chadema inapiga kura ya maoni kwa kutumia wajumbe maalumu wa kamati tendaji ya jimbo. Hii ndiomaana unaona kunatofauti ya kura ccm unakuta wanachama 50.000 Cdm unakuta watu hata mia hawajafika. Lakini uelewe pia kati ya hao wanaodaiwa kuwa ni Ccm wapo watu wengi tu ambao wameenda huko kupiga kura tu, ili wajioatie chochote. Baada ya kupiga kura hurudi kwenye misimamo yao kwa vyama vyao.

Lakini pia, Wanachama wa ccm wanaomuunga mkono mgombea fulani, akikatwa, iwe kihalali au kimizengwe kura zao hupeleka Upinzani ili wakose wote. Mifano hiyo ni mingi sana na timeishuhudia mwaka 2010. Unatakiwa kuizungusha akili yako kidogo tu ili kuling'amua hili.

Unadhani ni kwanini fikra za Gori la mkono zilipita kichwani mwa Nape kama ni kweli wanajiamini kwamba wana wanachama wa kutosha ili kuwapigia kura? Jiongeze...!!!

BACK TANGANYIKA
 
Achana na Zirro Kubwa. Wanaopenda mabadiliko Tanzania tuungane UKAWA kuiondoa CCM na mfumo wake tupate Katiba Mpya na Tanzania Mpya.
 
Hivi hicho chama cha Zitto kinatarajia kupata wabunge mwaka huu?
Wangapi kwa mfano?
 
kuna mwingine jana kajitoa kisa hakupewa uwaziri, endeleeni kujidhalilisha tu
 
Back
Top Bottom