Mimi imenivutia 2!

Hawa tausi ni mara ya mwisho niliwaona kwa macho yangu kule ikulu na tokea hapo sikuwaona tena hadi laana ya leo au labda kwenye D V D na picha za vitabu vya watali
 
Makubwa na maajabu ya dunia ni sawa sawa na pepo ya dunia na ndio maana sisi huku hupenda kuwa wakimbizi wa kwenda huko kwa wadungu na bila mitaji ya kiabishara matokeo yake kuwa na kimradi cha mabangi na unga na kila uhuni na matokeo yake mikononi mwa dola hapo tena ni nahau majuto ni mjukuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…